NIPOSINGO
Member
- Jul 24, 2022
- 11
- 39
Ujumbe huu huwahusu zaidi wanawake ili kiwajengea stara kwa wenza wao na kiwapa moyo ili kutowatoa mchezoni, hasa kimawazo, wakati wa tendo.
Ewe mwanamke, epuka kauli hizi. Badala yake, tafuta lugha nzuri, laini ya kuwasilisha ujumbe huohuo.
1. Haufanyi vizuri kama…
2. Mimi sipendi hivyo unavyofanya
3. Unaniumiza
4. Usiniguse hivyo
5. Sio hivyo
6. Mi bado
7. Sio hapo
8. Hivi unafanya nini?
Chanzo: Chris Mauki
Ewe mwanamke, epuka kauli hizi. Badala yake, tafuta lugha nzuri, laini ya kuwasilisha ujumbe huohuo.
1. Haufanyi vizuri kama…
2. Mimi sipendi hivyo unavyofanya
3. Unaniumiza
4. Usiniguse hivyo
5. Sio hivyo
6. Mi bado
7. Sio hapo
8. Hivi unafanya nini?
Chanzo: Chris Mauki