mchakachuaji192
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 366
- 68
Asante mchakachuaji msg sent .
haya FPPoint taken
lakini asilimia kubwa ni mpaka mwanaume ndio aanzeMchakachuaje... au wifi yetu hawezi kukuanza.. navyojua mie, wanawake nasi tuna haki, hamu kama wanaume ya kuwaanza wenza wetu. Tena madaktari wa Mapenzi wamedhibitisha ya kwamba katika sex, Mwanamke ndo anasikia raha kuliko Mwanaume. Chukua hiyo
leo naenda kumuanza....get rede...
lakini ni kweli, kwanini kila siku mpaka mimi ndo niwe nakuanza dear, hebu leo anza nione kama unayaweza?

au km vp tuweke time tebo nyum aya ktanda....j3 mpaka frday zamu yako kuanzsha mimi j1 mpk j2
Eti niniiiiii?????
sorry, si huyu eti anataka sijui nimfanyie hayo mambo yake, mimi nimemkatalia
Leo utanitambua aisee umeanza lini mambo haya we si ulisema bado mdogo sasa imekuwaje??? Una kesi ya kujibu
basi sirudii tena
nimekusamehe ila utanijibu kesi yangu tukiwa kwenye chai sawa?