Siku hizi ni kuomba mungu tu yakutokee mazuri hata kama siyo kwa asilimia mia moja. Vichwa na mioyo ya watu havitabiriki. Mnaweza mkachukua muda mfupi kwenye mahusiano lakini ndoa ikavunjika mapema. Mnaweza mkachukua muda mrefu kwenye uhusiano na bado ndoa ikadumu. Kuna kuchoka na kuchokana.
mada nzuri sana hii
Watu hupuuza mambo kama hayo na kuforce mahusiano kitu ambacho sio kizuri
kuna uwiano flani amabao mbatakiwa kuwa nao ila si lazima kulandana kila kitu japo isiwe hamlandani kwa mambo mengi
Thawa tumekuthikia mawazo yako ya kithembe.. Hakuna anayepotethewa muda wake bali kupotetheana kwa wote tu.. Kama ndoa tu hata tha kanithani thinafunjika itakuwa uhuthiano tu!?