Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Kujifunza, kuelewa na kufuata ni kitu kizuri kwa mtu mwenye hulka ya kupanua mawazo yake. Hakuna aliyekamilika, Kila thiku watu wanakothea. Hakuna mtaalamu wa kudumu wa mapenzi.
Kwenye mapenzi tunazidiana uelewa tu.-
Leo tuijadili hii mada.Ni kuhuthu wanawake wanavyopotezewa muda na wanaume ambao hukaa nao muda mrefu katika uchumba unaishia hewani.
- Ki ujumla thi thahihi thana kukaa kwenye urafiki kwa muda mrefu. Uthidanganyike na pete, mwenzi wako anaweza kubadili mawazo wakati wowote. Uchumba wa muda mrefu lazima uwe na sababu maalum, labda masomo n.k.
Kama umepata mchumba, kuna mambo muhimu tu ambayo ukiyachunguza na kujiridhisha, mnatakiwa kuingia kwenye ndoa, bila kuthubiri zaidi. Hebu tuone mambo hayo.
MAMBO YA MTHINGI KUCHUNGUZA .
1. UNAMPENDA KWA DHATI?
Tiketi ya kwanza kwenye uhuthiano ni kupenda. Lazima ujihakikishie kuwa mwanaume uliye naye unampenda na nafthi yako imeridhika.
2. ANAKUPENDA?
Chunguza kama anakupenda. Yapo mambo ya mthingi ambayo yakionekana utakuwa na hakika kuwa mwanaume wako anakupenda kwa dhati.
Kwanza namna ambayo anapenda ukaribu wenu, anavyokushirikisha kwenye mambo yake, kukujali. Mfano unaumwa, anakuwa karibu na wewe na wakati mwingine hukuchukua na kukupeleka hospitalini kutafuta tiba.
Atapenda kujua kuhuthu ndugu zako, hali zao kiafya na mengine ya mthingi. Mwanaume wa ukweli, ambaye anakupenda, atahakikisha yeye anakuwa faraja yako na kukuongoza thiku zote.
Akiwa na tabia hii maana yake anakupenda.
3.DINI.
Lazima kuangalia thuala la dini. Inashauriwa wanaooana wawe wa madhehebu moja ili kuepusha migongano. Mambo ya kiroho yana uhuthiano mkubwa thana kwenye ndoa.
Imani huthaidia zaidi kutatua migogoro, matatizo ya kuua nk. Haitakuwa jambo zuri, mpate watoto ambao hawatajua wapi panawafaa kuabudu.
Yapo madhehebu yanayoruhuthu ndoa za mtheto lakini kwa baadaye inaweza kuleta uthumbufu. Zungumzeni, kama ni lazima kuoana, mmoja wao akubali kuhamia kwa mwenzake (tena kwa kuamini, thi kwa ajili ya ndoa).
4.MILA.
Chunguza mila za kabila lao. Jaribu hata kuwatumia wazee. Kuna baadhi ya makabila yana mila ambazo kwa wengine zinakuwa na migongano. Kuwa na hakika na hilo kwanza.
YA NINI KUPOTEZA MUDA?
Baada ya kuchunguza yote hayo na kujihakikishia, una thababu gani ya kupotezewa muda? Kama umeridhika na hayo, maana yake mnatakiwa kukaa na kujadili kuhuthu ndoa, kama hataki ujue thi wako.
Ni uamuzi wako mwenyewe, kuamua kupotezewa muda au kuwa makini na maamuzi yako. Ndugu yangu kila kitu kipo vichwani mwetu. Tumepewa uwezo wa kufikiri wote, tatizo ni namna ya kufikiri tu. Shughulisha ubongo wako.