Epuka Kauli Hizi....

Epuka Kauli Hizi....

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
563
Reaction score
98
Upandapo Daladala:

Nitakupa!,
atakupa mbele!,
hujapewa mbele?,
utapewa nyuma!,
nitakupa nikikaa vizuri!,
ngoja isimame nikupe!,
subiri asimamishe upewe!,
hivi nilivyokaa nitakupaje?,
tulia utapewa!,
nikupe mara ngapi?,
nimempa huku mbele!,msimpe huko nyuma!,
si nimekwambia simamisha?.
 
DAh ebwanamkuu umetisha...nice i like it...lol!!
 
Maana si mbaya ila kwa tafsiri ya kizazi cha leo ni balaa tupu
 
"Umekuxudia nini" hamna kitu nikichukiacho humu jamvini kama mtu anapoandika hizi " umekuxudia,xaxa, qaqa, etc". Ni kiswahili kibovu ambacho hakivutii kabisa kusoma.
 
"Umekuxudia nini" hamna kitu nikichukiacho humu jamvini kama mtu anapoandika hizi " umekuxudia,xaxa, qaqa, etc". Ni kiswahili kibovu ambacho hakivutii kabisa kusoma.

Ndiyo maana nimkuwa kimya. Labda hajuwi ni nini jokes!
 
Kizazi hiki balaa. mawazo yote yanaelekezwa maeneo ya kiuno tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom