Kwa mtazamo wangu, Mkono ni legislator, yeye hayuko upande wa mahakama (judiciary) wala hayuko upande wa serikali (rais na mawaziri) hivyo basi hajavunja sheria yeyote kuwa wakili.
Ukitofautisha haya mambo matatu: Bunge, serikali, na mahakama, utakuta Mkono ana kila haki ya kuwa wakili. Hata kama angekuwa waziri bado angekuwa hajavunja sheria kwa kuwa wakili, kwasabbu kati ya bunge, serikali, na mahakama, ni mahakama tu ndio ipo independent of government na bunge.