Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 117
- 387
Wakati Figo zimeshindwa kufanya kazi yake. Dayalisisi ni njia ya bandia ya kutoa uchafu na maji yasiyohitajika mwilini. Njia bora ya kuokoa maisha kwa watu ambao Figo zao zimedhoofika kabisa.
Kazi ya Dayalisisi kwa magonjwa wa figo:-
-kusafisha damu kwa kutoa uchafu kama kreatinini na yulea mwilini.
-kutoa maji yasiyohitajika mwilini na kusawazisha kiwango kinachofaa mwilini.
-kurekebisha usawa wa kemikali kama chumvi, potassium na magadi mwilini.
AVOID
-salt
-sugar
-junk foods
-stress
-sitting for too long
-alcohol
-processed food
-saturated fats(fry and packed foods)
-cheese
MORE
-fiber
-exercise
-fruit
-sleep
-baking soda
-vitamin D3 + K2
-water
-Diuretic food
-Garlic and red onion
-turmeric and black pepper
-probiotics.
Gharama ya kufanya dayalisisi 180,000-200,000/= kwa mzunguko mmoja, na kwa wiki unatakiwa kufanya si chini ya mara mbili.