Epson L382 Printer Ina changamoto gani?

Epson L382 Printer Ina changamoto gani?

Ukifanya reset haisumbui? Maana Kuna nyingine unatakiwa uwe na reset key
Errors ni za kawaida, isipokuwa kwa vile hizo model hazina screen hivyo haziwezi kuonesha error kwenye printer yenyewe , itablink tu kiaina fulani kutegemea na error ila kwenye computer kuna utility yake inayo minitor status ya printer n andio itakuwa inakupa maelezo ya error.

pia printer za aina hii kama epson ukiprint pages kadhaa kama 1000 hivi inahitaji kuReset counter. Google kitu kinaitwa WIC RESET inahusisha almost printer zote za epson.
 
Japo sijawahi kutumia hii aina yako, lakini nimewahi kutumia HP Deskjet 1000 series yenye kutumia ink pia.

Iliniletea zengwe kama hili but nilifanya clean printer process ikawa poa.

Hii Epson inaonekana ni balaa mno.

shida nyingine ni mafundi wengi ni wa kubahatisha. ukipeleka ndio umeanzisha safari ya kwenda kwa fundi kila siku, labda kama kuna fundi unayemuamini ila mimi sina imani nao.
 
Ukifanya reset haisumbui? Maana Kuna nyingine unatakiwa uwe na reset key
Reset key ni lazima kwa printer nyingi ila kwa L210 kuna software ambayo haihitaji key. ukishakuwa nayo tu ndio basi tena.
 
Ninaishi Arusha pia, Ila kwa sasa nipo Iringa. Vipi Bei ya huko Arusha kama zipo zile mpya! Ni sh ngapi

Hadi nikaulizie, maana huku maduka machache. huwa zinapatikana pale Arusha Card center maeneo ya Friends corner
 
Mkuu tumeshamaliza mabox ya ream 4 had sasa KAZI yetu n kujaza tu wino mweusi had sasa katka zile chupa za reserve imebaki moja so n very cost effective Ila ktk swala la speed na kibiashara ni lazma uwe na mashine moja kubwa itakayokuwezesha kuchagua idadi ya copy unazotaka
mIMI NIMETUMIA SASA HIVI NI MIEZI 6 NIMEMAMLIZA REAM MOJA YA KARATASI BLACK AND WHITE AND COLOUR SO FA SIJAMALIZA HATA CHUPA MOJA KWA MUJIBU WA MELEZO YAO UNAWEZ PIGA ANGALAU REAM SITA
 
Kwani hata katika PC hamna option ya ku-print number of copies?
Mkuu tumeshamaliza mabox ya ream 4 had sasa KAZI yetu n kujaza tu wino mweusi had sasa katka zile chupa za reserve imebaki moja so n very cost effective Ila ktk swala la speed na kibiashara ni lazma uwe na mashine moja kubwa itakayokuwezesha kuchagua idadi ya copy unazotaka
 
Wakuu, nimepitia kurasa za mitandaoni kama Jumia na Kuoatana na kukutana na tangazo la Epson L382 ikiwa dukani kuuzwa. Nimejisikia kuipenda, lakini nataka kujua kitu kuihusu. Najua humu kuna wataalamu waliobobea kuihusu kabisa.

Naomba kujua changamoto za hii Printer na iwapo inafaa kwa matumizi ya Stationary ambapo sina photocopier, yaani naitegemea hiyo kwa kutoa kopi na ku-print, pia ku-scan. Vipi?! Inaweza kunipa faida au?

Me nnaitumia hii..nna mwaka nayo sasa ina perform vizuri chupa za wino ziliisha mara moja nikajaza tena bila changamoto yoyote..sema quality ya picha sio kama utavyoambiwa..if you want a quality pixel go for L800..
 
Kwa uwezo huo mnaosifia, Ina maana siwezi ku-print kwa Bei ya kukopi na ikanipa faida Boss?
Binafsi sijawahi kuimiliki, ila nimewahi kuiona ikifanya kazi nilipoenda ku print documents zangu zilikuwa coloured, kwanza ufahamu hiyo ni inkjet printer, na ipo slow kwa hiyo kama copy ni nyingi itachukua muda mrefu sana, jambo ambalo kibiashara sio zuri, ushauri wangu nunua hiyo kwa ajili ya colored documents kisha utafute laserjet kwa ajili ya copies kwa kuanzia.
 
Nimekusoma vizuri mno Mkuu! Shukrani Sana.
Binafsi sijawahi kuimiliki, ila nimewahi kuiona ikifanya kazi nilipoenda ku print documents zangu zilikuwa coloured, kwanza ufahamu hiyo ni inkjet printer, na ipo slow kwa hiyo kama copy ni nyingi itachukua muda mrefu sana, jambo ambalo kibiashara sio zuri, ushauri wangu nunua hiyo kwa ajili ya colored documents kisha utafute laserjet kwa ajili ya copies kwa kuanzia.
Lakini LaserJet ni cheap ila zina gharama kubwa mno linapokuja suala la wino. Kama unafahamu aina ya Printer ambayo ina-print kurasa za kutosha na wino wake ni bei rahisi unaweza kushea nami hapa na nitashukuru.
 
Nimekusoma vizuri mno Mkuu! Shukrani Sana. Lakini LaserJet ni cheap ila zina gharama kubwa mno linapokuja suala la wino. Kama unafahamu aina ya Printer ambayo ina-print kurasa za kutosha na wino wake ni bei rahisi unaweza kushea nami hapa na nitashukuru.

Gharama ipo kama utanunua brand toners, ila kama utafanya refills na ukapata wawekaji wazuri ni way cheaper.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom