Epson L382 Printer Ina changamoto gani?

Epson L382 Printer Ina changamoto gani?

Mr Sanguine

Member
Joined
Dec 29, 2017
Posts
77
Reaction score
44
Wakuu, nimepitia kurasa za mitandaoni kama Jumia na Kuoatana na kukutana na tangazo la Epson L382 ikiwa dukani kuuzwa. Nimejisikia kuipenda, lakini nataka kujua kitu kuihusu. Najua humu kuna wataalamu waliobobea kuihusu kabisa.

Naomba kujua changamoto za hii Printer na iwapo inafaa kwa matumizi ya Stationary ambapo sina photocopier, yaani naitegemea hiyo kwa kutoa kopi na ku-print, pia ku-scan. Vipi?! Inaweza kunipa faida au?
 
Ninayo naitumia nyumbani kwangu kwa shughuli za kuprint za kawaida kwa mujibu wa mimi changamoto yake kubwa ni kwamba sio heavy duty so ukiwa na kazi nyingi kwa wakti mmoja inaweza kuwa kimbembe.Mimi mwenye nshaanza kufikiria kuuza hii ya kwangu.Uzuri inatumia wino wa vitank na binafsi naamini ni more cost effective chupa nne.So ukiniuliza kuhusu faida utapata faida ila kwa muda nilioitumia naichukulia kama mashine ya kazi za kawaida na sio heavy duty kwa maana ya speed,Print quality yake ni nzuri full colour ni nzuri.
 
Asante Mkuu. Wino wake unaweza kudumu kwa muda gani?
 
Wakuu, nimepitia kurasa za mitandaoni kama Jumia na Kuoatana na kukutana na tangazo la Epson L382 ikiwa dukani kuuzwa. Nimejisikia kuipenda, lakini nataka kujua kitu kuihusu. Najua humu kuna wataalamu waliobobea kuihusu kabisa.

Naomba kujua changamoto za hii Printer na iwapo inafaa kwa matumizi ya Stationary ambapo sina photocopier, yaani naitegemea hiyo kwa kutoa kopi na ku-print, pia ku-scan. Vipi?! Inaweza kunipa faida au?

L382, sio heavy duty printer ila ni economical. kutumia katika stationery inaweza kukuangusha kutokana na Spidi yake ndogo wakati wa kutoa copy ukilinganisha na laserjet printers/copiers.

**hizi ni Hasara zake:
- Slow copying
-spidi ya kuprint sio tatizo ingawa haifikii laserjet
-Reset software yake inaweza kuwa inakugharimu kiasi ukifikisha page kama kila 1000 pages.
-huwezi kuset number of copies wakati wa kutoa copy
-huwezi kuseti contrast/brightness ya copy
-error message huwa zinatokea kwenye computer

**Hizi ni faida zake:
-economical, hapo utafurahia gharama ndogo ya wino
-Print quality ni nzuri sana na colored(Ukitumia karatasi nzuri huwa inapiga hadi 5760dpi)
-ni special kwaajili ya kuPrint picha kwa kutumia photo paper (Kama za epson glossy au clarion glossy)
-Rahisi kuoperate na kuweka wino.
-Wino mwingi bei rahisi (Tafuta wino mzuri)
-ina uweza kuprint hadi karatasi ngumu za gramate 300 au zaidi kidogo, hapo utaprint hadi business cards, vipeperushi, brochures......

Ushauri; ukipata L210 naiaminia zaidi.
 
Kaka, Bei ya L210 tafadhali
 
mIMI NIMETUMIA SASA HIVI NI MIEZI 6 NIMEMAMLIZA REAM MOJA YA KARATASI BLACK AND WHITE AND COLOUR SO FA SIJAMALIZA HATA CHUPA MOJA KWA MUJIBU WA MELEZO YAO UNAWEZ PIGA ANGALAU REAM SITA
Duh! Kumbe iko fresh hatari
 
kama @ubongokid alivyosema. Hizi printer za Epson ni nzuri sana kwa matumizi ya wino. Yaani ukijaza mitungi , basi RIM zinafika na zinaweza kuzidi kulingana na aina ya unachoprint. Ila kama unaprint PHOTO wino utaenda zaidi lakini bado haito kutia hasara kwasababu kuprint photo kuna bei tofauti na kuprint document za kawaida.
 
Naam nakupata vema. Lakini mlisema kuna ERRORS fulani hivi huwa zinatokea ambazo zinaifanya isiwe applicable, mnasemaje hapo? Huwa mnatatuaje tatizo hilo?
 
Nilikuwa nayo L800
Nimedumu nayo miaka 4
iko poa sana,na kama walivyosema Machief upande wa wino,ni rahisi sana

Ila kidogo imeniletea tatizo la kutoa karatasi wakati wa kuprint

Kwa wajuzi wa tatizo hili,naomba msaada wa mawazo na ushauri
 
Tatizo gani hilo Kamanda, lifafanue vizuri ili hata Mimi niwe aware na hilo.
Nilikuwa nayo L800
Nimedumu nayo miaka 4
iko poa sana,na kama walivyosema Machief upande wa wino,ni rahisi sana

Ila kidogo imeniletea tatizo la kutoa karatasi wakati wa kuprint

Kwa wajuzi wa tatizo hili,naomba msaada wa mawazo na ushauri
 
Tokea kuinunua kwake miaka yote
Sijawahi ipeleka kwa fundi

lkn kwasasa
inatoboa katarasi,Karatasi inatoa ikiwa na matobo mengi,na haitaki kuprint
 
Naam nakupata vema. Lakini mlisema kuna ERRORS fulani hivi huwa zinatokea ambazo zinaifanya isiwe applicable, mnasemaje hapo? Huwa mnatatuaje tatizo hilo?

Errors ni za kawaida, isipokuwa kwa vile hizo model hazina screen hivyo haziwezi kuonesha error kwenye printer yenyewe , itablink tu kiaina fulani kutegemea na error ila kwenye computer kuna utility yake inayo minitor status ya printer n andio itakuwa inakupa maelezo ya error.

pia printer za aina hii kama epson ukiprint pages kadhaa kama 1000 hivi inahitaji kuReset counter. Google kitu kinaitwa WIC RESET inahusisha almost printer zote za epson.
 
Japo sijawahi kutumia hii aina yako, lakini nimewahi kutumia HP Deskjet 1000 series yenye kutumia ink pia.

Iliniletea zengwe kama hili but nilifanya clean printer process ikawa poa.

Hii Epson inaonekana ni balaa mno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom