karibu kwa huduma ya repair , service kwa machine zote ya photocopy na printer ,
pia huduma ya kureset inkpad error inapatikana mahali popote ulipo huduma inafanyika .
Mi natafuta softwear ya kudown grade Epson WF 3820 nilifanya update ya softwear yake ukaanza kubagua cartridges unataka premier TU , ukirefill inazingua