likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,073
Katika kuonesha kuwa Guardiola amedhamiria kuchukua ndoo zote pale uingereza msimu huu, hapo jana amewakung'uta wababe wa chelsea, westbromwich albion kwa mabao 3-0 huku goli la 3 likifungwa na mtukutu segio aguero dakika ya 89.
Kwa upande wa chelsea inayonolewa na kocha asyetulia, antonio conte, waliambulia aibu ya mwaka nyumbani stamford bridge kwa kukubali kichapo cha magoli 0-3 kutoka kwa Afc bournemouth watoto wa mjini.
Huku christian eriksen akirejea kwa kasi totenham spurs na kusababisha kilio kwa anayejiita special one 'mourinho', ambapo mpaka dakika 90, man utd walichapwa 2-0.
Kwa matokeo hayo ni rasmi league imekuwa ya mbio ya mtu mmoja kwa kuwa, man city inaongoza kwa tofaut ya point 15 kwa kuwa ina point 68 ikfuatiwa na vibonde man utd wenye 53.
[HASHTAG]#vivakipara[/HASHTAG]