EPL Itakua Balaa Chini ya Makocha Hawa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
_89776578_premierleaguemanagers.jpg

huenda ligi hii itakua ya hatari sana msimu ujao

Unadhani nani ataibuka kidedea?
 
Antonio anaweza sumbua sana epl maan hawa wa italy siwaelewi wana mpira wa matokeo sana
 
Ya wenger atabaki lakini nionavyo mm specaialone atakuwa wa kwanza kutafuta mlango wa kutokea
 
mfumo wa wenger ilitakiwa afundishe Timu ya Taifa maana anakuza kweli vipaji harafu anauza huku yeye akikosa makombe....
 
Back
Top Bottom