EPL: Everton yaifunga Liverpool Anfield baada ya miaka 21

Shadida Salum

Journalist at JamiiForums
Sep 11, 2020
69
104
IMG_20210220_232229_616.jpg
Merseyside Derby imemaliza huku ikibadili history ya Everton ya kutofunga Anfield kwa takribani miaka 21 , baada ya kumtandika Liverpool goli 2-0.

N baada ya kujinyakulia alama zote 15 kwenye michezo mitano, Chelsea hii leo imeambulia alama 1 baada ya mchezo wake dhidi ya Southampton kumalizika kwa sare ya 1-1.

Kwa matokeo hayo Chelsea anasalia katika nafasi ya nne akiwa na alama 43 ikiwa ni alama 13 nyuma ya anayeongoza msimamo wa ligi hiyo ambaye ni Manchester city mwenye alama 56.
 
Back
Top Bottom