MalcolM XII
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,236
- 14,203
Naam
Leo ndio ile siku tuliyokuwa tukiisubiri kwa hamu ya ufunguzi wa ligi pendwa barani ulaya, maarufu kama English Premier League (EPL).
Tutashuhudia mtanange wa kukata na shoka kati ya vilabu vya Arsenal (Mabingwa wa kihistoria wa FA Cup ×14) dhidi ya Liverpool (Mabingwa wa EPL 2019/20)
MATCH DETAILS:
Arsenal v Liverpool
Venue| Wembley Stadium
Referee| Andre Marriner (England)
Time| 18:30 ( kwa saa za East Africa)
Tutakuwa tunaweka updates kadri mechi inavyoendelea.
Kama mdau wa soka, tupia utabiri wako kuona nani ataibuka kidedea.