Episode I: Agano-Lowassa Lazima awe Rais, Ndio mkakati tangu 95

Hiyo episode ya tano ngumu kumesa...

Sasa hivi sitasikiliza maneno ya mtu yeyote kuhusu ukimya wa Dr Slaa, hadi siku atakapoongea mwenyewe...

Tena nimuone anatamka maneno mwenyewe...
 
Dah! we jamaa shost umechambua mada hii vizuri.

watu wanajiuliza...je Lowasa akishinda atakabidhiwa nchi??? Hapo napo jibu ni rahisi.............NDIO!!!!

Utakumbuka kuwa EL na JK walishahaidiana kuwa 2015 ni EL.....ila mimi sio mchambuzi sana, ila hii arcade ya kuonyesha JK na EL wamegombana, watakuwa wameipanga wao.

Waliona kama wangefikia kura za maoni wakiwa pamoja, na EL kushinda kuwa mgombea CCM, basi wajumbe wengine wangeona kuwa hii nchi imekuwa ya kukabidhiana marafiki.....upinzani na mpasuko ungejkuwa mkubwa sana ndani ya CCM....

Ila tutambue kuwa wengi wa wajumbe wanaomuunga mkono, wamemuunga mkono, ikiwa nipamoja na kumuonea huruma EL na mapenzi yao kwao...lakini amini nakwambia,,,,LOWASA NA KIKWETE HAWAJAGOMBANA!!!

Huu ni mchezo......

Kura yangu kwa UKAWA
 
Last edited by a moderator:
hakuna kitu, kwa sababu hapo hapo majada wa CCM wanasema Uzi juu nap wanatunga Uzi kutokana na nyuzi zinazo endelea ndani ya mitandao ya kijamii maana juzi tuu wamesema Slaa kasema anatishwa maisha take, labda ni kweli some time watu Fulani wanaweza panga njama za juu away kwake ila ukawa wanahitaji interigensia ya hali ya juu sana kwa sasa maana wanao pambana nap wanaweza kufanya hivyo na kusababisha watu kuona wamefanya maksudi ili kumuondoa slaa
 
Why na yeye alikubali kutudanganya watanzania watuzuge na raisi eti anajiuzulu kifekifeki kiongozi kama yeye hafai.Kwa nini anachukuwa fedha za matajiri kutoa misaada makanisani na misikitini hatufai matajiri watamdai akiingia ikulu. Team Magufuru hana makundi nje na ndani ya chama.
 
Kumbe na yeye lowassa ni yule yule kama ccm maana na yeye anakua mtumwa wa marekani anasimamia maslai ya wamarekani badala ya watanzania, hakuna jipya uyo marekani mikataba yetu inamuhusu vip?
 
Bro hongera kwa hadithi yako tamu,, lakini ningeamini tu kama ungeandika mwaka 2011,, sasa wewe umekuja nayo 2015,, kuna wenzio wametuconvice na nyuzi kama hizi maana waliziandika zamani na zinareflect kinachotokea sasa,,, hichi ulichoandika ni mtazamo wako,,, maana hata mimi naamini ile sakata ya richmond na buzwagi El alipiga na Jk akagoma kumpa cover,,, unapomtaja El basi nyuma huwa kuna ROSTAM AZIz na matajiri wengi wanaosubiri future yao baada ya urais,,, hatuhitaji kuweka bond hili taifa,, na tunajua hata MAGUFURI akishinda bado hawa watu wataleta shida kwa hadithi ya kuibiwa kura na mengineyo ila wazalendo tupo wengi tutapambana, tunahitaji ukombozi na mapinduzi ya kweli na sio ukombozi ulioporwa kwa kigezo cha mabadiliko, tanzania ni ya watanzania na mabadiliko yatafanywa na watanzania wote au zaidi ya 50% ya watanzania na sio mabadiliko ya kutumia watu wasioelewa kama silaha na kuaminisha dunia fulani ananguvu au anapendwa ili utengeneze defence ya unachotaka kufanya ukishindwa,,, tutumie akili zetu kufikili na sio kuconclude kwa kufuata mkumbo...
 
Dah! we jamaa shost umechambua mada hii vizuri.

watu wanajiuliza...je Lowasa akishinda atakabidhiwa nchi??? Hapo napo jibu ni rahisi.............NDIO!!!!

Utakumbuka kuwa EL na JK walishahaidiana kuwa 2015 ni EL.....ila mimi sio mchambuzi sana, ila hii arcade ya kuonyesha JK na EL wamegombana, watakuwa wameipanga wao.

Waliona kama wangefikia kura za maoni wakiwa pamoja, na EL kushinda kuwa mgombea CCM, basi wajumbe wengine wangeona kuwa hii nchi imekuwa ya kukabidhiana marafiki.....upinzani na mpasuko ungejkuwa mkubwa sana ndani ya CCM....

Ila tutambue kuwa wengi wa wajumbe wanaomuunga mkono, wamemuunga mkono, ikiwa nipamoja na kumuonea huruma EL na mapenzi yao kwao...lakini amini nakwambia,,,,LOWASA NA KIKWETE HAWAJAGOMBANA!!!

Huu ni mchezo......

Kura yangu kwa UKAWA
I couldn't say it better, you're spot on!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom