Epiq Bongo Star Search wanambeba WABABA

Wababa kama jumanne idi tu,hamna kitu,ana visingo vyake kaimba kiduku ovyo tupu'mwwimbaji pale walter,salma na nkwabi
 
Tunaomtaka walter ashinde basi isiishie hapa tuvote kwa ajili yake lol
 
ili kuondoa mpasuko na kero za muungano
bhaaasi mshindi ni salma kutoka znz,bonge la enterterner
hao wengine watasubiri sana!
 

Nakubaliana na wewe kabisa. Alafu SALMA anafuata. Wengine kawaida sana.
 
Mtoa mada mtu wa kuzimu kweli njoo na facts! anzia kwenye vocal range, stage presence and dont forget the personality! hakuna kama WABABA! tatizo ni kuishi maisha ya kichawi unahisi watu wote ni kama wewe!:A S-baby:
 
Oneni mzuka wa star search na performance kwengine na jinsi wanavyotoa vipaji, sio bongo watu wana-mbwela!na hamtaki kukosolewa lakini pia mjipime - Innocent Balume DRC na keshatoka toka mwaka jana mpaka sasa dogo anacollable kibao na watu wenye majina akiwepo Akon. https://www.youtube.com/watch?v=GvpqeBkkSbc
[h=1][/h]
 
Ushindi anatakiwa uwe wa Nsami Nkwabi kiukweli, kwani anajua kucheza na vocal range, stage presence anaimudu pia anatazamia. Namikia kura mara nyingi na nazidi ku-mkurisha adi ashinde.
 



ebanaeee kitoto kinalipa vibaya mnooo, daaa, hata mie huwa nasema ukiangalia star search za wengine hii ya hapa ushuzi kabisa isipokuwa mtu chache sana kama Walter na yule mshindiwa Mwanza ndio wenye unique voice. Niliangaliaga ya Nigeria, yaani kama woooooote washiriki ni unique, anaetolewa unashangaa kakosea wapi...... VIVA Walter!!!
 
napita tu maana siwajui, kwani sebuleni kwangu ni baa UHURU PEAK
 
Halafu,mbona zamu hii sioni Gospel singers?Wababa alianza kubebwa na Master J.naona hata hao madada wamemfuata.Personal,cmkubali.
 
Nakubaliana na wewe kabisa. Alafu SALMA anafuata. Wengine kawaida sana.

sure wadau huyu wababa yupo pale kwa nguvu za madam rita tu..mshindi atakua mwanamke bt jamaa hastahili kuingia top 5
 
Sion anachokiimba, au ameloga apate mil 50? manake naona kama majaji wamepigwa ganzi. japo salama amechana live kuwa haelewi anachoimba.
Akishinda ntajua KALOGA

Msimamo wangu uko palepale
 
Piga kura mkuu!

Umempigia kura?

Muongezee ushindi

Tupia hata ka meseji kamoja ushindi uongezeke

Ndo hapo wabongo tunasubiri mshindi wakati kura hatupigi

we utapiga kula,pesa yako ya Dagaa itakwenda bure..Majaji wameshapanga Mshindi Longtime Mkuu!
 
Wababa hana Lolote huyu Zaidi ya Kujicream tuu na kusuka Km Demu...Kuimba hajui kabisa Huyu Ngosha!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…