Ephraim kibonde na arnod kayanda watukana waandishi wa habari live kisa Lowassa

Kibonde niwakupeleka sokoni ubadilishane na nyanya, thamani yake imeshuka kama fedha ya zimbabwe
 
Kumjadili mtu kama Kibonde sio sahihi kabisa ni kupeteza muda.Huyu amezoea kubwabwaja kwenye sherehe za harusi ,kuwachekesha wakwe na wageni waalikwa kwa hiyo hawezi changanua mbichi na mbivu.
 
Hiyo ndo clouds bwana! Kuna siku nilimsikia mwandishi wao mmoja anasema yeye kazi yake ni kubwabwaja na mwisho wa mwezi mshahara unaingia kama kawaida.
 
mkuu utakufa kabla ya siku zako wewe waache tu na karedio kao..
 
Kibonde ni kada mzuri wa magamba na EL ni baba yao hana jipya mi nimeacha kabisa kusikiliza kipindi chao maana hakina future bora njia panda.
 
Kibonde ni kada mzuri wa magamba na EL ni baba yao hana jipya mi nimeacha kabisa kusikiliza kipindi chao maana hakina future bora njia panda.

nisaide hili walitaja namba sikumoja nkawapa vidonge vyao toka sikuhiyo wanaanza kuntumia msg kabla ya kipindi mimi arnold kayanda karibu jahazi nasubiri maoni yako ajui niko chooni ama chumban na mke wangu nitwambiaje waache kuntumia
 
hicho ktengo wanakiita psychiatry.
 
mkuu umenichekesha na hiyo picha yako ( movie) kati ya kibonde n kayanda. huyo kobonde kweli ni kibonde kama jina lake. nadhani huyu jamaa hana akili timamu kabisa.
 
nisaide hili walitaja namba sikumoja nkawapa vidonge vyao toka sikuhiyo wanaanza kuntumia msg kabla ya kipindi mimi arnold kayanda karibu jahazi nasubiri maoni yako ajui niko chooni ama chumban na mke wangu nitwambiaje waache kuntumia
WApe tena vidonge vyao.
 
yeah kweli kabisa me mwenyewe yule jamaa ananiboa sana anavyojifanya kila kitu anajua
 
kampuni yote ya clouds ni mashoga halafu kuna jamaa yangu anampumulia kisogoni mmoja wao
siwasikilzi kwanza mambo yao ni umbeya na utoto sana

nawe unashabikia hiyo laana, mungu wangu.
 
halafu linasauti mbaya kama vile kamezeshwa vyura hii ndiyo ile mitanzania.
 
Kumdiscuss Kibonde hapa Jf ni kulishushia hadhi jukwaa.

Tuachane na huyu mpuuzi, tudiscuss potential figure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…