Ephraim kibonde na arnod kayanda watukana waandishi wa habari live kisa Lowassa

Lowasa ni mchapakazi sana na mambo yamezorota serikalini baada ya lowasa kuchukua maamuzi magumu.
Lowasa kachafuliwa kwa chuki binafsi,hii ni kwasababu kabla hajachafuliwa hata wewe ulikuwa unamjua RAIS ANAYEFUATA.
Lowasa anafaa kuwa RAIS na anaweza kuwa RAIS na ni mwaka 2015.amen.
 
Back
Top Bottom