Labda kama wako wawili, lakini ninayemjua familia yake iilikuwa inaishi Upanga, dada yake ambaye ameolewa na mshijaki wangu mmoja wa primary school anamiliki kampuni kubwa sana ya Tele/Communications pale jengo la CRDB, na kaka yake mwingine anamiliki kampuni kubwa sana ya kupeleka watalii mbugani kule Arusha na nikiwa majuu nimemsaidaia sana kuwaelekeza watalii kwake, I mean a I can go on and on, unless tunawawaongelea Lukaza wawili tofauti!
Hizi sio dataz, ila ni ukweli wa kawaida tu wa familia ninayoifahamu, that is all sikusema hizi ni dataz, lakini unakaribishwa sana ila tu yasiewe yale yale!
Thanxs!
Mkora na Kisura,
Heshima mbele sana wakuu,
Duh! mkuu kisura karibu tena siku nyingi sana kulikoni?, nimewasikia sana, eti na dada yake huyu aliyeolewa na mshikaji wangu aliiba wapi? Maana hao wengine wameiba eti?
Eti Familia yao ilikuwa masikini? Are you serious au?
Familia kuwa na uchache inawezekana lakini kama walivyosema wasemaji wengine hapo juu... kuna vitendo vya kifisadi na dubious dealings nyingi wanafanya..na siyo lazima kuweka details hapa.Ila kwa tunaowafahamu naweza kusema huu ni mwanzo wa ku unveil yale amabayo hayakuwa yakijulikana about this so called rich dynasty.FYI one of the brothers pia anahusika na hili sakata na hata ilibidi akimbie baadhi ya mali zake wakati mambo yamekuwa hot.
Sawa sawa, hapa tupo ukurasa mmoja. I mean sisi wa-Kristo, Mungu anasema kuwa hakuna utajiri wa halali kwa hiyo you will never know, lakini hawa familia wanazo hela pia siku nyiingi ndio tu iliyokuwa point yangu,
Lakini nimewasikia anything could be anything.
Huyo mwanamke anaitwa EDA ni mtu wa mambo ya urembo.Kuna mwanamke analalamika kuwa huyo dada ni kibaka mzoefu wa kutupwa kwani alimpora huyo mume Mwakale ambaye wanashistakiwa wote kwa kuiba hela za EPA.Alimpora huyo mume na kumfanya mumewe halafu wakaenda kushirikiana kupora hela za EPA.Sasa wote wako kizimbani.
Mkora na Kisura,
Heshima mbele sana wakuu,
Duh! mkuu kisura karibu tena siku nyingi sana kulikoni?, nimewasikia sana, eti na dada yake huyu aliyeolewa na mshikaji wangu aliiba wapi? Maana hao wengine wameiba eti?
Eti Familia yao ilikuwa masikini? Are you serious au?
Bila kuwa na mtu wa kututhibitishia kuwa hawa jamaa kweli wanalala selo,tunaweza kuwa tunamwagiwa changa la macho tu.Usione ajabu kuwa jamaa wanaonekana wanapelekwa rumande then baadaye wanafuatwa huko na tinted cars kuwarejesha wakalale kwa amani nyumbani.Ni vugumu kweli kwa mfumo ulioathirika kwa rushwa kumshughulikia mtu mwenye fedha (hata kama ni ya wizi).
And to be honest,I dont trust JK.Huyu ni mtu ambaye katika hotuba yake ya Bungeni na hii ya juzi ameonekana kuwatetea hawa mafisadi.Na jana anadai kuwa mzigo kamwachia DPP (ni utoto kwa Rais kujipa majukumu kila siku ya kuwaelekeza kazi watendaji wake ambao wanapaswa kujua majukumu yao) na hatomwingilia.Je hii sio dalili ya kukwepa lawama pindi DPP akiamua kufuta mashtaka au kuiendesha kesi hiyo kwa mwendo wa konokono?
Sanasana hili vuguvugu litadumu kwa siku 2-3,watuhumiwa watapewa dhamana kisha kesi itaenda weeee mpaka tuisahau.Come 2010,JK atajigamba kuwa amepambana na ufisadi na ushahidi ni kesi zilizoko mahakamani.Akiulizwa mbona zimechukua muda mrefu sana atajitetea kwa maeno hayo alosema jana: mzigo kaachiwa DPP.
Labda naota tu lakini kuna nyakati ndoto nazo hutimia
Mkuu tunaogopa kuingia ndani zaidi kwani itakuwa too personal lakini michongo yenyewe ndio hiyo hiyo sema huyo Johnson akawa Taahira kujikuza sana yaani ilifikia wakati kuna kigogo wa BOT anampigia simu kupunguza mabalaa na yeye anamuweka kwenye loud speaker akidai anamfuata fuata
Mkora na Kisura,
Heshima mbele sana wakuu,
Duh! mkuu kisura karibu tena siku nyingi sana kulikoni?, nimewasikia sana, eti na dada yake huyu aliyeolewa na mshikaji wangu aliiba wapi? Maana hao wengine wameiba eti?
Eti Familia yao ilikuwa masikini? Are you serious au?
Mkuu heshima yako, ni kwamba familia ya Lukaza, wanazo hela hata kabla huyu bwana mdogo hajaingia ufisadi, ndio maana ndugu zake ambao nimeongea nao sana wiki hii wanasema hawaelewi nini hasa kilichompeleka huko BOT,
Baba yake alikuwa kibopa toka enzi za awamu ya kwanza, ndugu zake wote ni vibopa longtime, tena wote wake kwa waume, ni yeye tu aliyezidisha tamaa na sasa amechafua sana jina la baba yake na la familia yake kwa ujumla, bila sababu ya msingi wakati wao ni watu wa pesa siku zote, hiyo dhamana ambayo ni ndogo sana wka ndugu zake anaweza kua amelipiwa na sister wake mmoja tu na sio ndugu zake wote, I mean mnyonge mnyongeni lakini haki apewe.
.