EPA kuwakandamiza watanzani zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EPA kuwakandamiza watanzani zaidi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ffoas, Apr 10, 2011.

 1. ffoas

  ffoas Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwakweli ni jambo lakusikitisha ambapo naona watanzania tupo kwenye hali ngumu katika maeneo mbali mbali,hasa kiuchumi,lakini ni jambo lakusikitisha serikali inapojitwisha mzigo wakulipa deni la EPA tena na kwariba ambapo hapo awali deni lilikuwa bil137 ambapo kwa sasa serikali italazimika kulipa deni hilo mpaka kufikia bil230 kitu ambacho ni hali ya hatari hasa kinachoweza kuliyumbisha taifa na kuwafanya watanzania kuishi katika hali ngumu zaidi.wadau mnalionaje hili kutokana hii ni hali yakutisha.
   
Loading...