Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
SIJUI KAMA SIKU HIZI IPO HII!
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili'
5. Kupamba kadi sebuleni
6. Ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
7. Kunyolewa na mkasi
8. Kufunga pesa kwenye leso au pindo la kanga
9. Kwenda kuangalia sinema za Ukimwi na Lishe sokoni
10. Ku rewind kanda kwa peni
11. Ndala kuchemshwa ili zisiishe
12.Kucheza umeshikilia kaptula sababu mpira umekatika
13.Kuchonga penseli na meno
14. Kukata ndala, ati ni kifutio
15. Kunyolewa msalaba shuleni kisa nywele ndefu
16. Wewe unakumbuka nini...?
dah... umenikumbusha mbali mkuu.... zote zinsnihudu isipokuwa na. 2... ila me nakumbuka tulikuwa tunaambiwa uking'oa jino unalitupa juu ya bati ili liwahi kuota... so hata ukiwa shule liking'ooka unalitunza unarudi nali home afu unalitupa juu ya bati......
Kununuliwa kiatu size kubwa ili ukue nacho........ them good old days.
daughter...ushawahi kucheza mchezo wa "Yanga yanga nipe kucha nyeupe"?
kunawa uso kwa kutumia umande
unakumbuka "chachacha" ndio ilikuwa catalogue
ukipauka miguu unatema mate afu unajipaka lolest!!!!!!
ukipauka miguu unatema mate afu unajipaka lolest!!!!!!
hahaaaa daddy... nishawahi sema nilikuwa mesahau kidogo... afu pia tukiona kunguru wengi wamekusanyika angani tunaanza kuimba "mvua njoo katalina njoo"!!!!!
....au kutoka nje na mfupa wa paja la kuku na chembechembe za ubwabwa kifuani.
Kuwaringishia wenzenu kuwa leo kwenu mmeuchapa ubweche.
kwa mwendo huu, we utakua kila ulipopewa soda unaiongezea maji kidogo ili iwe nyingi...
hizo zote nimezipitia....ila hapo kwenye blue....ni pageni...