Enzi zetu

Kizazi cha dotcom hawayajui haya
 
mshana jr umenikumbusha siku moja nikiwa la saba tulikuwa na mtihani wa kata...mi nlikuwa na kawaida ya kunyosha nguo asubuhi. Sasa asubuhi nimeamka nikakoleza moto kwenye pasi na nguo zangu nikazitundika kwenye kamba....ukuja upepo ukapeperusha sketi mpaka kwenye pasi....ile natoka nikakuta sketi imeungua karibu nusu af nlikuwa nayo moja tu....kulia nlishindwa...kuzimia sikuweza nikabaki nakodoa macho tu
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahahahahaha sasa uli vaa niniaaaaaa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…