Mtanzanika JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,389 Reaction score 1,131 Aug 21, 2013 #1 Kwanza tulikuwa tunapiga menu heavy! Halafu tunaenda kucheza. Huyu Golikipa ni MwanaJF maarufu sana siku hizi.
Kwanza tulikuwa tunapiga menu heavy! Halafu tunaenda kucheza. Huyu Golikipa ni MwanaJF maarufu sana siku hizi.
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Aug 21, 2013 #2 Huyu golikipa mbona mnafanana naye sana!
Mtanzanika JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,389 Reaction score 1,131 Aug 22, 2013 Thread starter #3 WAHEED SUDAY said: Huyu golikipa mbona mnafanana naye sana! Click to expand... Mbona kama wewe hivi!
D Devla Member Joined Jun 16, 2013 Posts 74 Reaction score 13 Aug 24, 2013 #4 aisee umenikumbusha mbali zunguka tumpige mchawi alafu linapitishwa bakuri la maji mzee wa kwanza kunawa ananawa kwa niaba ya wote wengine tunanawa tope lake maana hatukuwa na jagi, ha ha ha ha ha
aisee umenikumbusha mbali zunguka tumpige mchawi alafu linapitishwa bakuri la maji mzee wa kwanza kunawa ananawa kwa niaba ya wote wengine tunanawa tope lake maana hatukuwa na jagi, ha ha ha ha ha