Mengi Ayoub
Member
- Apr 20, 2022
- 56
- 46
Hapo kuna mmoja amepigwa changa la macho 😃 umegundua nini ? Na unakumbuka nini enzi za utoto
😂😂 Na mpaka aje agundue sasaJamani dhambii😂😂 mwenyewe anajiona anashiriki nao kumbe waya upo chini🤣🤣🤣🤣🤣khaaa
😂🤣🤣🤣🤣🙌
😂😂😂 Ila huoni karidhikaDogo alikua anasumbua wakubwa wameamua kumuonesha kwamba hajui 😀😀😀

