Enzi za ujahilia, CHADEMA nilipotea


Hao wote hawatufai cdm
 
Mtu anayesema kutoka CDM yuko salama apimwe akili, utakuta kama hana tezi ya ubongo basi ana tezitumbo, njaaaaaa....
 
pole sana wenzio tulijitambua hatukutaka kuchanganya haki na batili lkn shukuru mungu kakutoa huku pengine ungekuwa kaburi kwa vurugu za maandamano wakati wenzako kila siku wanatangaza wachumba.
 
Nimefurahi sana kukaona haka kajamaa maana siku zote nilikuwa nasoma tu kelele zake hahahaha tanzania bw ili tatizo la ajira naona limefika hatua mbaya sana hahahaha hata siasa nayo imegeuzwa kuwa njia ya kuendesha maisha ooh god!
 
nasikia wameacha matusi

Huu hapa Chini ni Wasifu wa Mwenyekiti wako wa Taifa.
Sasa sijui wewe ulikuwa nani,just bellow this..

==================

Ufuatao ni wasifu mfupi wa Mama huyu shupavu - Anna Mugwira au Anna Shadrack - Mwenyekiti wa Taifa wa ACT-Wazalendo


1. Alijitosa kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki mara mbili 2010 na 2011; akapigwa mweleka na Joshua Nassari, Mbunge wa sasa.

2. Aligombea ubunge wa Afrika Mashariki, akashindwa.

3. Kutoka uchaguzi wa ndani ya chama (Chadema), akagombea Uenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Arusha, akashindwa.

4. Akakimbilia Singida, akagombea Uenyekiti wa BAWACHA Mkoa, akapigwa chini.

5. Akatoka nduki hadi Mlimani City ambako uchaguzi wa BAWACHA Taifa ulikuwa unafanyika, akagombea nafasi ya Katibu Mkuu taifa wa baraza hilo, akaambulia kura mbili.

6. Wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka jana, akaomba akabidhiwe Jimbo la Singida Mjijini (ambako pia ametangaza kugombea ubunge mwaka huu), akapewa unahodha. Kati ya mitaa 51 na vijiji 16, akafanikiwa kupata mjumbe mmoja - SIO MTAA.

Hatimaye akafanikiwa kufanywa Mwenyekiti wa Taifa wa ACT-Wazalendo.

Naomba kuwasilisha Barazani.

=============
 
pole sana wenzio tulijitambua hatukutaka kuchanganya haki na batili lkn shukuru mungu kakutoa huku pengine ungekuwa kaburi kwa vurugu za maandamano wakati wenzako kila siku wanatangaza wachumba.

Hhahaa....mkuu naona na wewe umeshuka kwa vina.
 
Rangimoto kwanza nakupa pole. Inaonekana wewe ni mfuasi sana wa Vyama Vya siasa; kwa sasa umejiunga na Chama gani?
 
Pointi namba 6 kwani Singida mjini chama gani kilijizoea viti vyote hivyo?
 

Hapa unamaanisha nini?? Mfumo dume wa chama chenu au????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…