Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,202
- 138,575
sawa bana,sisi wazinifu,nyie wasafiMungu yupi?? CDM kipo
mikononi mwa wazinifu; huyo Mungu hawamjui wala amri zake hawazifuati
hivi huoni kioja kumhusisha Mungu na CDM???
Kwa uchache hawa ndio watoto wa JK, umri wao na mama zao walipo
1. Mustafa Jakaya 33-Kigoma
2. Mwanaharusi Jakaya-36-Kigoma
3. Isihaka Jakaya-34-Rukwa
4. Halfani Jakaya-31-Bagamoyo
5. Faudhia Jakaya-33-Dodoma
6. Siwema Jakaya-31-Mtwara
7. Faudh Jakaya -3-Iringa kwa Assas
8. Maulid Jakaya-18-Tabora
9. Salama Jakaya-33-Mama alifariki
10. Ridhiwani 36-Mama hajulikani
11. Miraji Kikwete 33- Mama hajulikani
12. Mwanaasha Jakaya- 18- Chalinzr
14. Pili-6-Ikulu
15. Havintishi-5-Ikulu
16. Mwalusembe-4-Ikulu
17. Hafidh 16-Ikulu
Asanteni
sawa bana,sisi wazinifu,nyie wasafi
Mkuu, njano5,
chukua tahadhari wasije wakakumwagia tindikali
Ugonjwa wako kwa sasa hauwezi kupona kwani umeshaanza kushambulia ubongo, hivyo unakaribia kuwa chizi epuka kuingia mkataba Wowote katika hali uliyonayokwani hautatambulika kisheria ...WATINDI mashetani,
Tena mapunguani,
Wana kasoro kichwani,
Naam tundu rasini,
Wanazua tafrani,
Nchi yakosa amani.
Wa kumuogopa nani?
Yehova ama shetani?
Waloizua tafrani,
Mbinguni na duniani,
Watu hawaelewani,
Asama upunguani.
Kinga yangu Rahmani,
Mola wa mashetani,
Mlezi wangu Manani,
Mola wa waumini,
Hivi kaumbwa na nani?
Ibilisi maluuni.
Vilivyopo duniani,
Muumba wake Manani,
Hata huno ushetani,
Muumba wake Manani,
WATINDI mashetani,
Kiboko yao Manani.
Tahadhari ni thamani,
Ni lazima si utani,
Palipo kosa amani,
Na subira nafsini,
Tuishipo nakamani,
Tahadhari kibindoni.
Njano5.
0784845394
sawa bana,sisi wazinifu,nyie wasafi
abu jahali? Jahilia? tehe! hivi Prof.Mbele si mtaalam wa ushairi?
si muda mrefu utakuwa kichaa kabisa!! CDM ni mpango wa Mungu,mapepo yote lazima yatoke!
Mungu ni Mungu wa wote. Ndiye Mungu wa yule mshkaji aliyebaka katoto ka miaka tisa, ndiye Mungu wa wale wanaoua wenzao ili wapate mabikira, ndiye Mungu anayeendelea kuwapa pumzi wale Maustadh wafiraji,Chadema ni mpango wa Mungu. Ukimwelewa Mungu na falsafa zake, hutapata shida kuielewa ChademaMungu yupi?? CDM kipo mikononi mwa wazinifu; huyo Mungu hawamjui wala amri zake hawazifuati hivi huoni kioja kumhusisha Mungu na CDM???
sawa ni uhuru kuhama chama,karibu atc,chama cha kujilinda na wahafidhina na kuangamiza panya wa uchagani.
Mungu ni Mungu wa wote. Ndiye Mungu wa yule mshkaji aliyebaka katoto ka miaka tisa, ndiye Mungu wa wale wanaoua wenzao ili wapate mabikira, ndiye Mungu anayeendelea kuwapa pumzi wale Maustadh wafiraji,Chadema ni mpango wa Mungu. Ukimwelewa Mungu na falsafa zake, hutapata shida kuielewa Chadema
Mungu ni Mungu wa wote. Ndiye Mungu wa yule mshkaji aliyebaka katoto ka miaka tisa, ndiye Mungu wa wale wanaoua wenzao ili wapate mabikira, ndiye Mungu anayeendelea kuwapa pumzi wale Maustadh wafiraji,Chadema ni mpango wa Mungu. Ukimwelewa Mungu na falsafa zake, hutapata shida kuielewa Chadema
Ugonjwa wako kwa sasa hauwezi kupona kwani umeshaanza kushambulia ubongo, hivyo unakaribia kuwa chizi epuka kuingia mkataba Wowote katika hali uliyonayokwani hautatambulika kisheria ...
chama cha ubaguzi,,,kinatumia fedha za ruzuku vibaya na hakina demokrasia wakiita cha cha kimunguuu,,,acha kufuru
Kwa hiyo Mungu wenu anaishi na kimada; Mkuu nimekupata
chama cha ubaguzi,,,kinatumia fedha za ruzuku vibaya na hakina demokrasia wakiita cha cha kimunguuu,,,acha kufuru
Kijana, si uende huko msikobaguliwa? Au si muanzishe chama msiwe mnabagua wala kufukuza? Unashinda humu kujambajamba tu kila siku? Chadema haikutali, wanachama hawakutaki, na jamii imeshaluelewa. Achana na chadema yetu kijana
Mungu aliyempa pumzi yule jamaa aliyebaka katoto ka miaka tisa na baadae kuoa m-bibi mwenye umri sawa na mama yake, ndiye Mungu wa hao unaowaona wana vimada