Enzi za ujahilia, CHADEMA nilipotea

Enzi za ujahilia, CHADEMA nilipotea

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,985
Reaction score
1,286
ujinga,,,.jpg
Enzi za Ujahilia,
CHADEMA nilipotea,
Namshukuru Jalia,
Kwani ameniokoa,
Loo! sasa najutia.

Enzi za ujahilia,

Nikikumbuka nalia,
Namshukuru Jalia,
Kwa aliyonitendea,
Hakika nilipotea.

Hakika nilipotea,
Njia niliyoiendea,
Kila nikifikiria,
Moyoni najisemea,
Rasini nilitimia?

Enyi mliobakia,
Dua ninawaombea,
Mpate kuiendea,
Njia ya kujitambua,
Nchi kuitumikia,

Babu anawatumia,
Yake yana muendea,
Yenu yana didimia,
Paka wana lialia,
Jikoni wamejilalia.

Paka wana lialia,
Jikoni wamejilalia,
Nchi ingejipatia,
Nguvu nilizojitolea,
Ajabu najionea.

Ajabu najionea,
Wachache wajijengea,
Ngome za kujilindia,
Viti walivyo kalia,
Mafurushi wajilia.


Mafurushi wajilia,
Bila haya nawambia,
Tena wanasingizia,
Gharama walizingia,
Risiti wa'zi chezea.

Hayo yakiendelea,
Kasheshe ipo Songea,
katibu ajionea,
Paka walio zoea,
Jikole kulichezea.

TIMU UZALENDO.

Njano5.
0784845394.
 
Nilikutana na jamaa mmoja akanambia nilijiunga na nccr nikidhani huko ni rahisi kukwaa cheo kwa kuwa ni chama kichanga, kumbe waliokuwa na mawazo kama yake ni wengi wakaanza kugombania namba, huyu bwana akawa hana hata uhudumu wa ofisi, wacha atukane. Wapo wengi hao cdm. Wana malengo tofauti na malengo ya chama. Wanakalia kuzusha tu.
 
U made my day we kiboko iseee ntalala safiiii
 
Wewe ule ugonjwa wa six gates umeshakupata sijui kama utapona maana uko hatua za mwisho sana , unaelekea kuwa kudi moja na Lukosi kwani sasa unashambulia ubongo.......
 
abu jahali? Jahilia? tehe! hivi Prof.Mbele si mtaalam wa ushairi?
 
si muda mrefu utakuwa kichaa kabisa!! CDM ni mpango wa Mungu,mapepo yote lazima yatoke!
 
pamoja tuseme na bado.

cha ajabu mchumia tumbo wenu anayejiita mzalendo kang'ang'ania CDM hadi anakimbilia mahakamani kuzuia uanachama wake!!!!
Hivi mlishawahi kujiuliza hilo,au nyie ndo wale mashabiki mandazi! kweli wajinga kama ninyi ndo waliwao!
 
View attachment 141374
Enzi za Ujahilia,
CHADEMA nilipotea,
Namshukuru Jalia,
Kwani ameniokoa,
Loo! sasa najutia.

Enzi za ujahilia,

Nikikumbuka nalia,
Namshukuru Jalia,
Kwa aliyonitendea,
Hakika nilipotea.

Hakika nilipotea,
Njia niliyoiendea,
Kila nikifikiria,
Moyoni najisemea,
Rasini nilitimia?

Enyi mliobakia,
Dua ninawaombea,
Mpate kuiendea,
Njia ya kujitambua,
Nchi kuitumikia,

Babu anawatumia,
Yake yana muendea,
Yenu yana didimia,
Paka wana lialia,
Jikoni wamejilalia.

Paka wana lialia,
Jikoni wamejilalia,
Nchi ingejipatia,
Nguvu nilizojitolea,
Ajabu najionea.

Ajabu najionea,
Wachache wajijengea,
Ngome za kujilindia,
Viti walivyo kalia,
Mafurushi wajilia.


Mafurushi wajilia,
Bila haya nawambia,
Tena wanasingizia,
Gharama walizingia,
Risiti wa'zi chezea.

Hayo yakiendelea,
Kasheshe ipo Songea,
katibu ajionea,
Paka walio zoea,
Jikole kulichezea.

TIMU UZALENDO.

Njano5.
0784845394.
Sasa uko CUF? Yetu masikio utatoka huko ukitukana DINI!
 
Ujahili/ukafir upo ccm,mf Samwel Luhanga,kujiunga ccm sawa na kuritad
 
ile program ya kugawa zile dvd za kariakoo bure imeishia wapi mkuu ?
 
Back
Top Bottom