Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,762
Yawezekana hizi enzi zinaelekea ukingoni likija suala la usasa na ujana. Wadada kuanzia miaka 10 hadi 30 hivi hawatamani tena mavazi hayo. Wanapenda suruali na vipensi. Hii inanifanya kufikiria kidogo ni nini kinafuata. Wadada mtuambie, mnaona aibu kuvaa gauni na sketi? Au hampendezi mkivaa hivyo? Mbona mnakuwa casual sana? Hadi nikiona binti kavaa gauni namtazama mara 2 na kumadmire