Enzi za sketi na gauni na kishida (gagulo) zimeisha?

kingi i am ur girl ............yaani ni skirt tu na gauni mara moja moja......na gagulo pia nna vaa. and i look super cute and presentable! lol

suruali huvaa once in a blue moon tena ninapolazimika kwenda site kazini.

too sex for my pants :p:p

u make me want to see u n how u appear in those gowns n skirts. Wahamasishe na wengine kuiga mfano wako
 
Nafikiri skirts Zina command heshima zaidi makazini kuliko suruali ambazo wengi zinawaonyesha ma figure Yao ambayo waafrika wamejaaliwa zaidi! Hasa ikiwa mazingira ya kazi ni wanaume wengi zaidi AU una deal na vijana wa kiume.

Unaweza ukavaa suruali ukafikiriwa 'mtoto wa shule buree!
 
sure, mwanamke kuvaa sket au gauni ni dalili za kujiamini. For real u r my woman when it comes to decency!
 
Wanaogopa kubakwa kiurahisi ,naamini hii ndio sababu kuu ya msingi na haina mbadala ,ila inayobaki ni uvuvuzela !!:pound:
 
Wanaogopa kubakwa kiurahisi ,naamini hii ndio sababu kuu ya msingi na haina mbadala ,ila inayobaki ni uvuvuzela !!:pound:

ni sawa na kusema unaogopa unene kisha unashindia viepe na mibiskuti. Wakivaa magauni tutawatazana kama wanawake ila wakivaa suruali tunawatazama kama viburudisho. Tena nasikia wanaitwa ving'amuzi siku hizi. Sifa ya king'amuzi ni kuonyesha picha bila chenga
 
Ni kweli kuwa magauni yapo tena ya kisasa pamoja na sketi ila utakuta hata haya ya kisasa ni wachache wanavaa. Wengi ni jinz na vitop hasa vyuoni hadi unajiuliza ni upepo gani huu?

Ukiwa umevaa suruali unakuwa more comfortable, nakumbuka mchakamchaka wa mlimani kukimbilia lecture rooms, kama umevaa sketi tabu tupu, lakini ukipiga jinsi yako ta t-shirt imetoka kitabu mtindo mmoja. skerti na magauni zinavaliwa kutokana na mazingira pia, siyo kweli kwamba hatuvai kabisa Kingi. But you have to accept changes otherwise itakupa shida.
 
ni sawa na kusema unaogopa unene kisha unashindia viepe na mibiskuti. Wakivaa magauni tutawatazana kama wanawake ila wakivaa suruali tunawatazama kama viburudisho. Tena nasikia wanaitwa ving'amuzi siku hizi. Sifa ya king'amuzi ni kuonyesha picha bila chenga
duuuuu!!!?? vin'gamzi tena!!? wamewakosea nn hawa viumbe kila siku mnawapaisha na misamiati mipya??
 
Ukiwa umevaa suruali unakuwa more comfortable, nakumbuka mchakamchaka wa mlimani kukimbilia lecture rooms, kama umevaa sketi tabu tupu, lakini ukipiga jinsi yako ta t-shirt imetoka kitabu mtindo mmoja. skerti na magauni zinavaliwa kutokana na mazingira pia, siyo kweli kwamba hatuvai kabisa Kingi. But you have to accept changes otherwise itakupa shida.

mama Brian wazungu wanasema it is all in your mind.

Tupo tuliosoma vyuo vikuu bila ya kuvaa jeans na kitabu kilikuwa mtindo mmoja vile vile. Siamini Kama kivazi kinamzuwia mtu kusoma
 
duuuuu!!!?? vin'gamzi tena!!? wamewakosea nn hawa viumbe kila siku mnawapaisha na misamiati mipya??

dadaangu raha ya mtoto wa kike umtazame katika uhalisia wake. Anapokaa na jinsi anavyojiziba wakati wa kukaa. Kama unataka uhuru uvae skin tait ndani ya sket au gauni. Hili la ving'amuzi ni kutokana na juhudi za wadada kuonyesha ramani ya miili yao kwa kuvaa hizo suruali na vitop. Pia kama ni uhuru mbona hizo suruali haziwi loose kama za wanaume? Zinawabana hadi wanashindwa kupanda ngazi
 
kazi zangu ni za site mara nyingi, so kwa kuvaa suruali nakuwa comfortable zaidi,

Sketi ninayo moja tu nayo nilipewa zawadi
 
kazi zangu ni za site mara nyingi, so kwa kuvaa suruali nakuwa comfortable zaidi,

Sketi ninayo moja tu nayo nilipewa zawadi

Kumbe weye ni bishosti aisee?? :A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue:
 
Enzi za mavai hayo uliyoyataja hapo mtoa mada hziwezi kuisha kwani nguo hizo zina maana kubwa sana zinapovaliwa ila swali la kujiuliza je, wanawake waliokuwa wanavaa nguo hizo wanaisha enzi hizi? Na kama wanaisha nini hasa kinachosababisha waishe ni umbumbu wa kuiga, ni utandawazi, ustaarabu au ni nini hasa? Na swali jingine la msingi la kujiuliza Je, ni mavazi yapi yanayompa heshima mwanamke ni yale aliyotaja mtoa mada au ni haya ya kileo?
 
Kingi hujakosea yaani hata huko tunapoiga fasheni (europa) bado wanavaa magauni hayo yakizamani na wanapendeza mno....hapa kwetu ukiona mtu kavaa gauni basi ujue anaenda kwenye sherehe au ana-interest na modelin'....kweli mimi pia nimeyamisi huwa nawatizama sana mabinti waliovalia magauni haswa wembamba warefu..mm kwishnehi kabisa...
 
Basi wanawake wajue kuwa wanaume wanapenda na kwahusudu wanawake wanaovaa nguo zao za asili (magauni na sketi). hizo suruali mzivae tukiwa kwetu ndani na ikibidi sana basi wanawake mvae suruali za kupwaya si kubana kiivo
 
I consider this as one of the hottest topics in JF!

Wadada hebu rudieni kwenye haya mavazi tunayamiss!

Kuna mdau amesema suruali zinawasitiri hasa wale wenye vijiusafiri! Well mungu kakuumbeni hivyo kwa makusudi jikubalini na mtakubalika tu!:A S tongue:
 
mama Brian wazungu wanasema it is all in your mind.

Tupo tuliosoma vyuo vikuu bila ya kuvaa jeans na kitabu kilikuwa mtindo mmoja vile vile. Siamini Kama kivazi kinamzuwia mtu kusoma

Gaijin naomba unielewe simaanishi kuwa kivazi kinamzui mtu kusoma maana yangu ni kwamba unakuwa huru zaidi kukimbizana huku na huko kuwahi lectures. but anyway that is my feelings labda kwa sababu napenda kuvaa suruali hasa ninaposafiri na wakati niko UDSM vazi langu kubwa lilikuwa ni jeans kwa kwenda mbele nikivaa sketi siku hiyo najiona kama niko utupu i dont know why. na huku niliko sasa wakati wa winter ukisema wewe ni mtu wa sketi unajiua mwenyewe.
 
I think evolution is on its way silently operating. Angalieni msijetamani kuwa na nanii pia
 
Mama Brian nimekuelewa kwa kiasi.... Ndio hivyo kila mtu anavyojisikia raha.

Mie najihisi mwanamke zaidi nivaapo skirt na gauni....... Na siku za winter kawaida yangu ni kuvaa boots mpaka magotini na skirt yangu ya wool mpaka usawa wa boots hizo....... Lazima unikubali Kama 'mtoto wa Kike ati! Lol

licha ya kukustiri na heshima I feel like my wardrobe becomes more interesting manake kunapatikana na stockings, leggins, boots, pumps na kadhalika ya kypangilia kabla sijatoka.

I luv it
 
Back
Top Bottom