Enzi za sekondari

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
ENZI ZA SEKONDARI

John ana miaka 10 pungufu ya Baba yake mama yake ana miaka 40, miaka 20 zaidi ya john.Tafuta umri wa..

1.john
2.Baba
3.Mama

......Hilo swali nilikuwa naliruka...Sio kwamba nilikuwa siliwezi ni basi tu sipendi kuingilia mambo ya familia za
watu mwalimu wangu nsameh

umbeya spendi
 
Back
Top Bottom