Enzi za Mwinyi mambo yalikuwa mazuri sana

Hakuna rais ambaye alikuwa anagawa pesa kwa kila mtu kiasi kwamba kila mtu aseme awamu fulani maisha yalikuwa mazuri. kama wewe unaona kipindi cha mwinyi maisha yalikuwa mazuri basi kuna mwingine aliona mabaya na anaona mazuri sasa. wanadamu wanatofautiana mtazamo, radha, hisia na hamu.
Na huo ndio ukweli
 
Watu na akili zenu
Dereva akiwa muislam hadi wakristo uifurahia safari maana watakunywa watakula,watachimba dawa, awatapitilizwa vituo,hawatofokea hovyo nk yaani burudani usipojenga utojenga.
 
Hii imekuwa kama wimbo wa taifa
Tangu awamu ya 5 ishike hatamu hakuna ambaye hajaguswa kwa namna moja au nyingine
Kwa wenye umri kama wangu ambao tumeziishi awamu zote mtakubaliana nami kila awamu ilikuwa na mazuri yake na magumu yake na maisha yalisonga wenye kujenga walijenga kila mtu kwa wakati wake kuna watu tulikuwa nao awamu zote hawa kujenga hata chumba na sebule leo hii ndiyo waimbaji wakubwa utasikia ooooh wakati wa mwinyi mkapa jk pesa ilikuwa nje nje tu na ukiangalia hakuna cha maana alichokifanya awamu zote sasa najiuliza hizo pesa nje nje mlikuwa mnazipeleka wapi na mlikuwa mnazitoa wapi ambapo leo hii hamzipati tena?

Mwinyi kama angekuwa rais wa Nigeria ama nchi yeyote inayojiheshimi leo hii angekuwa gumzo tu....watu wangemlipua risasi kitambo kutokana na ubadhilifu alioufanya hapa nchini. Mwinyi, Mkapa, Kikwete hawa wote ilibidi kunyongwa mara moja, ndiyo maana napigania Chadema ichukue nchi 2020 tujuwe hatma ya hawa majambazi.
 
Hamjiulizi hizo hela zilitoka wapi...labda zilichapishwa nyingi bila ya kuzalisha kitu?
Sera nzuri za uchumi mfano kuruhusu free market (free trade policy) kulisaidia sana watu kupiga chapaa na kula bata bila uoga wa kukamatwa na kuitwa Mhujumu Uchumi!
 
Sera nzuri za uchumi mfano kuruhusu free market (free trade policy) kulisaidia sana watu kupiga chapaa na kula bata bila uoga wa kukamatwa na kuitwa Mhujumu Uchumi!
Wakisema soko huria wanamaana uhuru wa bidhaa za nje kuingia kwetu ili wao wapate soko. Unafikiri wewe uko huru kuuza mahindi yako Ulaya?
 
Wakisema soko huria wanamaana uhuru wa bidhaa za nje kuingia kwetu ili wao wapate soko. Unafikiri wewe uko huru kuuza mahindi yako Ulaya?
Uhuru wote uliona sasa wa kuchagua malazi mavazi chakula usafiri matibabu habari umetokana na mzee mwinyi
 
Mwinyi kama angekuwa rais wa Nigeria ama nchi yeyote inayojiheshimi leo hii angekuwa gumzo tu....watu wangemlipua risasi kitambo kutokana na ubadhilifu alioufanya hapa nchini. Mwinyi, Mkapa, Kikwete hawa wote ilibidi kunyongwa mara moja, ndiyo maana napigania Chadema ichukue nchi 2020 tujuwe hatma ya hawa majambazi.

Nani msafi uzuri wao wote tulishiba
 
Biashara zilikuwa zina lipa. Tulikuwa tunauza kahawa kilogram 1 elfu 2000 wakati huu serekali imetupangia bei tumeuza kilogram 1 elfu 1000 tena siyo Cash kwa mkopo Ahsante.
hauna hata shina moja la kahawa. Wapi uliuza kilo 2000, kahawa ya aina gani?
 
Kuingiliwa na nani?kama tuliingiliwa mbona tanzania ipo mpaka leo?mkapa ndiye akaja kuuza nchi
Huoni reli ya kati ilikufa, umesahau tulivyokuwa tukitegemea umeme wa majenereta wakati nikiwa mdogo hakukuwa na mambo ya umeme kukatika.
 
Back
Top Bottom