Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,784 May 21, 2013 #2 englibertm . .... Dah! - The wings of Kilimanjaro Siku hizi mambo ni ...
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,971 Reaction score 77,264 May 21, 2013 #4 Hiyo Boing 737 kweli ilikuwa na Heshima sasa haya ya sasa yanaanguka Kigoma kama picha hapo Mwalimu aliweza kuweka mambo mazuri.
Hiyo Boing 737 kweli ilikuwa na Heshima sasa haya ya sasa yanaanguka Kigoma kama picha hapo Mwalimu aliweza kuweka mambo mazuri.
galindas JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 978 Reaction score 1,306 May 22, 2013 #5 wakati mwingine inatia uchungu na hasira kuona mambo yameharibika kiasi hicho. Siku zinapopita tunategemea mambo yawe mazuri zaidi lakini kwa nchi yetu ndio yanakuwa mabovu kupindukia. Aibu ilioje
wakati mwingine inatia uchungu na hasira kuona mambo yameharibika kiasi hicho. Siku zinapopita tunategemea mambo yawe mazuri zaidi lakini kwa nchi yetu ndio yanakuwa mabovu kupindukia. Aibu ilioje
Mtingaji JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,223 Reaction score 367 May 22, 2013 #7 Usia wa Mwl. 'Ukiona mtu anakimbilia Ikulu huku anahonga honga watu (T-shirt na kapelo), muogopeni kama ukoma'. hatukusikia, mnaona sasa!
Usia wa Mwl. 'Ukiona mtu anakimbilia Ikulu huku anahonga honga watu (T-shirt na kapelo), muogopeni kama ukoma'. hatukusikia, mnaona sasa!
Kinyerezi JF-Expert Member Joined Jan 28, 2009 Posts 487 Reaction score 149 May 23, 2013 #8 lol maskini, imebaki historia
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,784 May 23, 2013 #9 Transporter said: inauma! Click to expand... . Sana!
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 May 23, 2013 #10 Uzalendo umenishinda, bora nipande ndege yoyote lakini sio Air Tanzania. Chezea kutua kwa pua wewe?