Siku hizi tunafanya kuwakwepa,hata makapuku kama mimi tunawindwa kila kona tupitayo!enzi za mwalimu ukitaka kuoa msichana inabidi ukajikombe kwao yaan watakutumikisha weeee kwa kukulimisha, kupasua kuni nk. baadae wanaweza kukutosa! Lakini siku hizi hakuna hayo makitu!
>Enthi tha mwalimu wasichana wengi miaka 20 kumkuta na bikra ni kawaida,thatha ivi miaka 13 hukuti kitu,
Saa nana kote huko? In a fraction of a second. Sijui tunaenda wapi-Enzi za mwalimu wanawake walikuwa wagumu sana kutoa mchezo lakini siku hizi demu unatongoza saa nne kamili na saa nne na nusu unapiga bao.
Siku hizi tunafanya kuwakwepa,hata makapuku kama mimi tunawindwa kila kona tupitayo!
duuh mkuu umeniacha hoii mbavu sina,..Enzi hizo tukimuona mzungu yeyote tunajua ni padre na tunamfuata nyuma nyuma[tunamshangaa]
Enzi zile tulikuwa hatupigani picha ovyo ovyo picha iliitaji maandalizi bana. Unavaa nguo zako za. Krikimasi unachana afro unatafuta chupa yako ya Double Cola unaiweka hapo chini. Kajiredio. Kwa pembeni kama una ka saa kako ka Disco uhakikishe kanaonekana vizuri
Yani mpiga picha kumpata ilikuwa ni kwa appointment. Na inaweza kumchukua hadi lisaa kukamilisha pic moja nhihihihihi
Yote haya matusi lakini hilo #2 ni bad newz!Enzi za mwalim mwanaume akikojoa mkojo waluka adi kulee na wanawake wakikojoa lazma wachimbe kwa pressure ya mkojo ukitoka . .Cku izi mwanaume akikojoa apo na apo 2. .Wanawake wakikojoa unamwagika bila nguv yoyote
pande zipi hizo!!