Kipindi cha mama na mwana siku hizi wao na TV tu hawana muda na za kaleNilidhani utasema hadithi za kipindi cha mama na mwana
daahh hiyo simulizi ya katika habari picha imenikumbusha kitambo Sana ...Habari zenu wakuu,
Kuna vitu vingi sana vya kujivuni kwa sisi tulio bahatika kuwepo miaka ya 199....
Binafsi nilikuwa napenda sana hadithi za babu na bibi enzi hizo,hadithi za shule ya msingi,
Hadithi za abunuasi,tuliopitia maisha ya malezi ya bibi/Dada
tukumbushane ni kitu gani ulikuwa unapendelea enzi hizo
Mi nilikuwa napenda sana
.Hadithi-likizama jua tu namuandalia Bibi/Dada kigoda nakoka moto tunakaa watoto wote, tusikilize hadithi huku tunaitikia enhee
.Kombolela
.Lede
.Kuruka kamba
.Mdako
.Bao la kuchimba vishimo bila kusahau kibaba na kimama mama,
Mi nilikuwa mototo lakini
Haha hamkawii kuniuliza kwahiyo ulikuwa .......mama
View attachment 928921
Huhu mkuudaahh hiyo simulizi ya katika habari picha imenikumbusha kitambo Sana ...
though mchezo wa kombolela na kimama mama ilikuwa ni mizuri Sana " but ilikuwa ni opportunity ya kuwapa watoto nafasi ya kufanya matusi na kuiga yale yote waliyo kuwa yanafanywa na wazazi/walezi wao usiku .... wengi tulikomazwa kabla ya wakati wetu na hii michezo
hahaa wapii wengine wanavuaHuhu mkuu
Kumbe ulikuwa unafanya uchafu
Ila watoto bhana,hawakuwa wanajua kuvua nguo,ndo uzuri wake.
Siku hizi wanavuana hadharani..enzi zile kwenye majumba mabovuKwa watoto wa sikuhizi kweli wanavua
Ila watoto wa enzi zile mkuu sikuwahi kuona
Ila huenda ilikuwa kweli,usikute mfano mzuri we mwemwenyewe
Hahaha.
Nimekumbuka mdako na utu uzima huu kuna muda hua nacheza na watoto Wangu
Kombolele nyumba mbovu zilitukoma
Makidamakida dah!!
Kibaba na kimama ..nilikula sana ubwabwa..maana mtoto mie kila siku nilikua nafanyiwa besidei
Ila sisahau rede ya mstari kati nilivyopigwagwa ndei la kifuani..niliumwa week nzima
Enzi za 199 tulienjoy bana
Nasubiri kuona aliyecheza kama mama ni nani, maana naona watoto tu.
hahaa dinnah niombe radhiKwa watoto wa sikuhizi kweli wanavua
Ila watoto wa enzi zile mkuu sikuwahi kuona
Ila huenda ilikuwa kweli,usikute mfano mzuri we mwemwenyewe
Hahaha.
hahaa tulikuwa tunaita matusi ... mama dinnah amefanya matusi na John ... basii kama na mimi nilikuwa nakutamani dinnah ilikuwa nikikufamania tu " nasema na mimi naomba la sivyo nakwenda kusema ..Haha
Naenda kusema kwa mama
hearly alifanya uchafu
Hahaha.
vipi ulinisahau !?Hahahaha
Duh!,kumbeee ndo wewe
Hahaaa kama sijasahau mama mkwe ambaye ni mama yako sialikuwa anakuambia kuwa mimi nimchumba wako ".... so bila shaka hata ukienda kumwambia hatojali sana " sana sana atashukuru tu kwakukuweka kwangu ambapo ni sehemu salamaNilisahau
Ila hainizuii mm kukusemelea
Kwa mama
Kwamba uliniweza ila kwa mbinde
Hahaha.