chizi huyu eti"me against the worldHuyo jamaa wa upande wa Kulia bado haujamgundua tu..
Hapo sasa, jamaa kumbe ni mpenzi wa Rap Music
Muulize Tupac nilikuwa wapi siku ile alipo toana maneno na Biggie pale Kings County, ndio utafahamu kuwa unaongea na Baba yako. Halafu muulize kwanini Run DMC especially DJ Run alikataa kufanya ile scratch pale Midtown.enzi hizo za Tupac kila kijana alipagawa nae,hiyo miaka ya 90,wewe ulikua bado unanyonya.
Muulize Tupac nilikuwa wapi siku ile alipo toana maneno na Biggie pale Kings County, ndio utafahamu kuwa unaongea na Baba yako. Halafu muulize kwanini Run DMC especially DJ Run alikataa kufanya ile scratch pale Midtown.
Hapo sasa, jamaa kumbe ni mpenzi wa Rap Music