enzi hizoo kifaa kipya kikija class

Hii picha inanikumbusha mbali sana, kuna jamaa yangu yeye kila demu aliyekuwa anahamia lazima awe demu wake
 
Wengine tulisoma wasichana watupu, ukiwa mzuri lazima wakubabaikie wale wa mambo ya kusagana.
 
Lakini pamoja na hayo yote, tulikuwa tunasoma na kufaulu vizuri, sasa sijui siku hizi awa vijana wamejaza nini vichwani mwao...

Kama kichwa cha wewe hicho ka-ma-a-a ko-no-ko-no
 
Lakini pamoja na hayo yote, tulikuwa tunasoma na kufaulu vizuri, sasa sijui siku hizi awa vijana wamejaza nini vichwani mwao...

Kama cha kwako hicho ka-ma-a-a ko-no-ko-no
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…