" Ma-braza Men kwa kupenda sifa wanashinda Masaki wanalala Tandika[emoji12] [emoji12] "
"Nyumbani ni Nyumbani kwa jirani siyo kwako jishughulishe upate kwako.
Usidharau kwenu hiyo haifai tena nishai, Au kwa kuwa asubuhi hakupikwi chai? Au kwa kuwa umekua palipo kulea unapateua hii dunia bwana isiwe inakuzingua"