Enzi hizo za simu hizi

Enzi hizo za simu hizi

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
16,495
Reaction score
35,288
simu hizi
 
Attachments

  • 1439805218807.jpg
    1439805218807.jpg
    40 KB · Views: 1,377
Nakumbukia ka erickson kangu enzi hizo, kipindi kile hata ukiwa na katochi wachumba wanajilengesha wenyewe, sasa hata uwe na liandroid lako hupati kitu.
 
Nakumbukia ka erickson kangu enzi hizo, kipindi kile hata ukiwa na katochi wachumba wanajilengesha wenyewe, sasa hata uwe na liandroid lako hupati kitu.

hahahaha wanasema no money no honey
 
Ni balaaaa enz hizo ukiwa nayo utaosha kweli duuu balaàaaa
 
Back
Top Bottom