Enzi hizo za Secondary

rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
9,332
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
9,332 2,000
Aisee hakuna kitu inauma kama kukamatwa na simu alafu unaambiwa uipasue mbele ya shule Yani balaa sasa ukute umejichanga changa mwenyewe hata mzazi hajui unapoambiwa ukamuite ndo balaa linakuwa kubwa zaidi..!! Si sahihi mwanafunzi kuwa na simu lakini kuipasua ni kujenga chuki kubwa sana...

Sitaisahau Nokia asha yangu milele waalimu Mungu anawaona...wengine huzishika na kuzitumia ni bora.
tapatalk_1560368511217-jpeg.1125957
 
DMCT

DMCT

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Messages
2,274
Points
2,000
DMCT

DMCT

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2015
2,274 2,000
Kuna Waalimu pale Kigoma Sekondari, ni matapeli wananyatia mpk saa nane usiku kuona wanaotumia simu. Wakichukua wanauza, kumekua na ugomvi sana baina ya Waalimu na Wahitimu. Mwalimu Buto, Ndago, na Fredy one day mtaona hii comment, itakaa hapa miaka na miaka. Mtafafhaika.

Nawasilisha.
 
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
31,996
Points
2,000
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
31,996 2,000
Nilidakwa na Head Master nikiwa Lab nilikuwa najiandaa nitumie kuhesabu muda kwenye practical ya Heat.

Hakunirudishia na sikuifuata hata baada ya kumaliza NECTA, nilichofurahi ni kutonizingua kama kunipa adhabu au kuniagiza nimlete mzazi
 
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
9,545
Points
2,000
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
9,545 2,000
Nilidakwa na Head Master nikiwa Lab nilikuwa najiandaa nitumie kuhesabu muda kwenye practical ya Heat.

Hakunirudishia na sikuifuata hata baada ya kumaliza NECTA, nilichofurahi ni kutonizingua kama kunipa adhabu au kuniagiza nimlete mzazi
Kuna jamaa etu alidakwa na simu

Ikabidi atupange washikaji

Mi nikatoa idea , tutafute namba ya head master hafu tumpigie

Kweli tukaipata tukampigia

Kilichofuata ni historia , sintoweza andika hapa ntajulikana!!
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
9,332
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
9,332 2,000
Kuna jamaa etu alidakwa na simu

Ikabidi atupange washikaji

Mi nikatoa idea , tutafute namba ya head master hafu tumpigie

Kweli tukaipata tukampigia

Kilichofuata ni historia , sintoweza andika hapa ntajulikana!!
Yani mkampigia na headmaster tena aisee mlipindaa sanaa..
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
9,332
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
9,332 2,000
Kuna Waalimu pale Kigoma Sekondari, ni matapeli wananyatia mpk saa nane usiku kuona wanaotumia simu. Wakichukua wanauza, kumekua na ugomvi sana baina ya Waalimu na Wahitimu. Mwalimu Buto, Ndago, na Fredy one day mtaona hii comment, itakaa hapa miaka na miaka. Mtafafhaika.

Nawasilisha.
Maadili yamekuwa F mkuu no shida sana...
 
DMCT

DMCT

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Messages
2,274
Points
2,000
DMCT

DMCT

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2015
2,274 2,000
Maadili yamekuwa F mkuu no shida sana...
Achukue simu, muda ukifika nipe simu. Hakuna mahala sheria inasema mwal achukue simu ya mwanafunzi, by that time, nilikua(ga) nawasiliana na baba maana Poket money ilikua shida. Waalimu waligeuza kama fursa, kuchukua simu na makofi juu. Nawachukia basi tu..
 
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
2,858
Points
2,000
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2018
2,858 2,000
Nakumbuka mwaka fln niliokua kidato cha sita nakaribia kufanya mtihani wa Taifa (Necta), ukapita msako mmoja wa ghafla na bahat mbaya siku hiyo kulikua hamna mgonjwa bwenini ili nimwambie akafungue locker langu atoe simu yangu iliyokuwepo ndani ya hilo sanduku..Simu ikakutwa kwangu, sikupanic mana nilijiandaa tyr kisaikolojia kua lazima tuchapwe then tuendelee na kusoma kwaajili ya necta...Sasa kuchapwa hatukuchapwa (tulikua 4-form 6) tena bali tulifukuzwa kabsa na mtihani hakuna kufanya.. Nakumbuka nilienda kupanga kitaa huku napiga mitihani nje (series) nikijua ntarud kufanya pepa, nikaenda kwa mkuu wa wilaya kuomba anisaidie nifanye mitihani, akasema hataweza..ikabd nitoe taarifa kwa mama japo alilia ila nilimtuliza.. kesho yk tukaenda tena kwa Dc akawasiliana na shule ili turud na wazazi..wakamjibu tutawapigia simu wazazi wao waje shulen

Baada ya miez 4, wakasuluhisha yakaisha kwa ubshi sana...wakati yote yanatokea imeshafika Ijumaa ambapo j3 ndy paper linaanza....na natakiwa nifanye kutokea nilikopanga....nilihangaika sana...basi tu haya ni maisha

Kifupi nashukuru Mungu nilimaliza na nilifaulu na sasa chuo nimemaliza pia..ila ishu ya simu ndy ilinitesa nikiwa shule sema niliamin ntafanya pepa ndy mana nilifanya series za kutosha.
 
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
5,272
Points
2,000
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2012
5,272 2,000

Kidato cha sita ndo fom sirii?
 
Forum statistics

Threads 1,304,890
Members 501,583
Posts 31,530,825
Top