Enzi hizo za maisha bora kwa kila mtanzania

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592
Beckham.jpg
 
Yeye huyo legend wa Old Trafford
Alkua kipenzi tu cha mashabiki,nakumbka kombe la dunia Japan baada ya wao kutolewa warembo walikua wanagombania kuwa wa kwanza kulala kwenye room yake.Legend kwa mimi ni giggs,scholes na Cantona.
 
kona zake mbili ziliipa man u ubingwa wa uefa 1999 dakika ya 92 na 93
 
Back
Top Bottom