Enzi hizo walipendeza, kweli kweli!!

Sheikh Ponda huyo enzi za Ujana wake,hapo ndio yuko fresh from Kigoma!!!
 

Mbona kafanana na Magid Mjengwa huyu? Au ni yeye kabla ya kuoa?
 
Hii ni aina ya psychosis! to draw people's attention.
 
Mtanzania mchapa kazi huyo. Anatafuta riziki yake kihalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…