Enyi wanawake wa leo

Nyuma ya mafanikio ya mwanaume yupo mwanamke aitwae "mama".

Kwahiyo apambane na kubet siku akifanikiwa aje.
hahahaha naona mmeamua kuibadilisha misemo ambayo si ajabu mliianzisha wenyewe
 
Walianzisha wanaume wenyewe. Hatujabadilisha, nimewakumbusha tu kuwa huyo mwanamke ni nani.
 
kumbe? mi siku zote nilihisi ni nyinyi mlioanzisha ili kuonyesha umuhimu wenu ktk maisha ya mwanaume...hasa kwenye ndoa.

ila kama ni hivyo usemavyo basi sawa
 
Kwani umuhimu wetu hamuujui hadi tuwaonyeshe? Muulize Adamu ndio utaujua umuhimu wetu, bila sisi mngewehuka nyie[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
hahahaha vice versa is also veeery true!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…