Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,188
- 9,165
Enyi Wakiristo huu ni muda muafaka kuirejea dini ya. Haki ambayo ni Uislamu. Soma kisa hiki uone ushahidi kimaandiko wa Mkuu wa Makuhani wa wa kiyah aliyeamua kuslimu now kumuamini Mohamed -:Wakati Mtume (saw) alipokuwa anakaa katika nyumba ya Abu Ayyub Al-Answaariy huko madina, alikuja mtu mmoja kutoka kwa wanavyuoni wa Kiyahudi alikuwa ni mjuzi wa elimu ya Uyahudi.
Mtu huyu alikuwa ni hibr (yaani mkuu wa makuhani wa Kiyahudi), na jina lake lilikuwa Abdullah bin Salam.
Yeye alikuwa ni miongoni mwa wanavyuoni wakubwa wa Kiyahudi, ambaye watu walimrejea katika kila jambo la dini yao na hawakuchukua uamuzi wowote ila kwa rai yake.
Anasema Abdullah bin Salam (r.a) kama ilivyoandikwa katika Sahih al-Bukhari:
"Nilikuja kumtazama (Mtume) kwa sababu nilikuwa najua sifa zake kama ninavyojua watoto wangu. Tulikuwa tunajua kwamba atatumwa Nabii ambaye yeye ndiye wa mwisho kufunga mlango wa unabii na ujumbe wa mbinguni."
Anasema Abdullah: "Nilimjia Mtume(saw) na nikasimama mlangoni pasipo kujitambulisha kwake. Nikamtazama akiwa anazungumza na maswahaba wake. Nikamsikia akisema:"
"Peaneni salamui, walisheni chakula, shirikianeni na ndugu, na swalini usiku watu wakiwa wamelala, mtaingia Peponi kwa salama."
Akasema: "Nikamwangalia usoni, nikasema: Naapa kwa Mola wa Musa na Isa, huyu si mtu wa uso wa muongo!!
Ni yeye... ni yeye tu..."
Akaendelea kumtazama kwa makini kulingana na alivyomfahamu kupitia sifa na maelezo yaliyoandikwa kwenye vitabu. Ndipo akapata yakini kuwa kweli ni yeye.
Akaingia ndani na akamsalimia.
Kisha akasema:
"Ewe Muhammad, mimi ni Abdullah bin Salam. Nimekuta sifa zako na tabia zako zimeandikwa katika vitabu vyetu. Ninashuhudia kuwa hapana mungu apasaye kuabudiwa ila Allah, na wewe ni Mtume wa Allah. Lakini ewe Mtume wa Allah, tafadhali usitangaze Uislamu wangu hadharani kwa sasa. Niite viongozi wa Kiyahudi, uwaulize kuhusu mimi, kisha wasikie utakayowaambia."
Akaongeza:
"Hakika Wayahudi (angalia anavyosema kuhusu watu wake), ni watu wa hila, uongo na ufuska."
(Yeye ni kiongozi wao na anawajua vizuri haya ni maneno ya kweli kutoka kwa mtu wa ndani.)
Akasema: "Waite, waulize kuhusu mimi, na usikilize watakavyosema kunihusu, kisha waambie kuwa nimeingia Uislamu. Kisha sikiliza watakavyosema."
Mtume (saw) akakubali ushauri huo.
Akamwambia Abu Ayyub amuingize Abdullah bin Salam chumbani ndani.
Kisha Mtume(saw) akawatuma watu wake wawapelekee Wayahudi wa makundi ya Quraydha, Qaynuqaa’ na Nadhir taarifa waje kwa haraka.
Walipofika na kuketi, Mtume (saw) akasema:
"Enyi Wayahudi..."
(Hakuwahi kuwaita kwa heshima ya kuwa “Bani Israel” kwa sababu hawakuwa na heshima tena mbele ya Allah).
Akasema:
"Enyi Wayahudi, je mnajua kuwa mimi ni Nabii wa Allah, aliyefungwa naye mlango wa sheria za Allah? Hakika mimi ni Mtume kwa watu wote. Basi mcheni Allah, aminini, wala msiruhusu kiburi kiwazuie kuikubali haki."
Wakasema: "La, wewe si yule tunayemsubiri. Sisi tunamjua zaidi huyo Mtume kuliko wewe."
Mtume (saw) akawauliza:
"Ni nani kati yenu Abdullah bin Salam?"
(Aliuliza kwa hekima kana kwamba hamjui ili kuwavua hila).
Wakasema: "Yuko wapi? Hayuko miongoni mwetu sasa."
Akauliza: "Ni mtu wa daraja gani kwenu?"
Wakasema:
"Yeye ni bwana wetu na mwana wa bwana wetu, mjuzi wetu na mwana wa mjuzi wetu, mwenye heshima kubwa kwetu na sisi humrejea kwa elimu."
Mtume (saw) akawaambia:
"Kama Abdullah bin Salam atasilimu na akubali mimi kuwa Nabii, mtasema nini?"
Wakasema: "Hasha! Haiwezekani aslimu. Yeye anamsubiri Nabii wa kweli."
Mtume akawauliza tena:
"Kama akisadiki na kuniamini je?"
Wakasema: "Hawezi kuamini. Wewe si Mtume."
Ndipo Mtume (saw) akamwita kwa sauti:
"Ewe Ibn Salam!"
Akatoka chumbani, akasema:
"Labbayk (Naitikia wito wako), ee Mtume wa Allah."
Kisha akawaangalia Wayahudi na kusema:
"Enyi Wayahudi, nilikuwa nikiwahubiri miaka mingi kuhusu kuja kwa Nabii, niliyewatajia sifa zake na nyote mnazijua. Na sasa nashuhudia kuwa huyu Muhammad ndiye Mtume wa Allah."
Ndipo wakamgeukia na kumwambia:
"Wewe ni muongo zaidi miongoni mwetu na mwana wa muongo zaidi, hauna elimu wala heshima miongoni mwetu. Hatutasikiliza kauli yako."
Abdullah bin Salam akamwambia Mtume(saw) kwa masikitiko:
"Umesikia ewe Mtume wa Allah walivyosema kuhusu mimi kabla kidogo? Na sasa unasikia wanavyosema baada ya kusikia nimemsadiki Mtume?"
(Na hapo Allah akaziba mioyo yao, masikio yao na macho yao hawakuweza kusikia neno la haki).
Na Abdullah bin Salam akaingia Uislamu peke yake siku hiyo, na wanavyuoni wa Kiyahudi walikataa haki kwa kiburi na ujeuri.
Tumswalia Mtume wa mwisho na rehema kwa viumbe vyote Mtume Muhammad (saw)
📘Kwa visa na simulizi zaidi zenye mafundisho, endelea kutufuata katika ukurasa wetu wa Sufian Mzimbiri
Share, like na comment ili ujumbe uwafikie wengine, asante kwa kusoma Mungu akubarikie. Aamiin
#highlightsシ゚ #fypシ #foryouシ