Enyi viongozi wa sasa mlio madarakani!!!!!!!

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
271
Jamani watanzania wenzangu napata wakati mgumu sana ninapozisikiliza hotuba za hayati mwl.J.K.Nyerere.Mawazo yangu huenda mbali sana nakujikuta najawa na hasira ninavyoona nchi inavyopelekwa.Naongea nanyi viongozi mlio madarakani hivi ni nani kati yenu anaweza kusimama na kusema mimi ni msafi sijihusishi na vitendo vyovyote vibaya katika nafasi niliyonayo mliyonipa ya kuwaongoza.Na jiulize ni nani kati yenu ambaye ikitokea akatangulia mbele za haki machozi ya watanzania walio wengi watatiririkwa na machozi na kuwalilia kama ilivyo kwa mwl,kama si watu walio ndani ya familia tuu.Nawasilisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom