Enviromental Engineering

Enviromental Engineering

PURT50

Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
43
Reaction score
36
Poleni na majukumu wakuu,kama title ya thread ilivyo naomba kuuliza hii kozi ya environmental engineering inahitaji requirements gani ili uweze kuisomea ?
 
Requirements ina maana pana, au una maana ya Minimum Entry Points?
 
Naomba kuuliza,
Kwa muhitimu wa hii course ajira zake ni zipi, na vipi probability ya upatikanaji wa ajira kwa muhitimu wa degree ya course hii
 
Requirements inategemea na chuo (angalia websites huko utaona)

Kazi zipo nyingi sana kutegemeana na uhitaji na structure ya kampuni.

1 Unaweza kujiingiza kwenye mambo ya afya, usalama, mazingira na quality assurance (utahitaji kozi fupi fupi kukuweka sawa kulingana na aina ya ofisi/kampuni itakayokuajiri)

2 unaweza kuwa consultant wa mambo ya mazingira (audits, impacts assessments na specific jobs). Sheria za kimataifa zinataka uchunguzi wa athari za mazingira ufanyike kila kunapokuwa na mabadiliko ya projects. Kuna issues kama kusafirisha sumu na mizigo hatarishi, disposal ya vitu mbali mbali kama asbestos na sumu etc

3 hii ni virgin kabisa. Kuna uhitaji mkubwa wa kusafisha majiji yetu. Unaweza kujikita kwenye kutafuta suluhisho la jinsi ya kupunguza athari za mazingira kutokana na maisha tunayoishi.

Mwisho wa kufikiri kwako ndio zinapoishia kazi za waliosoma kozi hii.

Kila la kheri
 
Asante mkuu kwa maelezo yalio tukuka
 
Requirements inategemea na chuo (angalia websites huko utaona)

Kazi zipo nyingi sana kutegemeana na uhitaji na structure ya kampuni.aliyesoma combination gani ndo anaweza akachukua hii kozivmkuu?

1 Unaweza kujiingiza kwenye mambo ya afya, usalama, mazingira na quality assurance (utahitaji kozi fupi fupi kukuweka sawa kulingana na aina ya ofisi/kampuni itakayokuajiri)

2 unaweza kuwa consultant wa mambo ya mazingira (audits, impacts assessments na specific jobs). Sheria za kimataifa zinataka uchunguzi wa athari za mazingira ufanyike kila kunapokuwa na mabadiliko ya projects. Kuna issues kama kusafirisha sumu na mizigo hatarishi, disposal ya vitu mbali mbali kama asbestos na sumu etc

3 hii ni virgin kabisa. Kuna uhitaji mkubwa wa kusafisha majiji yetu. Unaweza kujikita kwenye kutafuta suluhisho la jinsi ya kupunguza athari za mazingira kutokana na maisha tunayoishi.

Mwisho wa kufikiri kwako ndio zinapoishia kazi za waliosoma kozi hii.

Kila la kheri
 
Aliyesoma combination gani ndo anaweza akaisoma hii kozi mkuu?
 
Back
Top Bottom