Enumerators wanahitajika

Tanganyika50

Member
Joined
Dec 8, 2011
Posts
97
Reaction score
19
Wadau,
Nina tafuta watu wa ku administer questionnaire katika wilaya za Mkuranga na Bagamoyo kazi ambayo inatarajiwa kuchukua siku 5 - 7
Sifa:
Ninahitaji watu ambao ni:
1.Wanafunzi wa vyuo ambao wako likizo
2.Wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu (Shahada/Diploma) ambao hawana ajira kwa sasa
Questionnaire iko katika lugha ya kiingereza na enumerator atahitajika kutafsiri na kuuliza maswali kwa Kiswahili.Ni kazi inayohitaji umakini na ufasaha.
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na namba ifuatayo:
0677 017418
Ulizia facilitator.
 
Sasa weken mitandao mbalimbali m nna tigo ntawabip plz mnipigie
 

Mkuu hiyo kazi inatarajia kuanza lini na inahusu nini hasa?
 
Kaka mbona unaniangusha? Huwezi kutafuta Enumerators kwani hiyo ni Survey inatumia sampuli na si sensa. Enumerators ni wadodosaji wa sensa na interviewers ni wadodosaji wanaotumia sampuli. Aidha kaka ukitaka kufanya utafiti hapa TZ lazima dodoso lako liwe katika kiswahili. Ni kosa la kitakwimu kuacha kila mtu atafasiri kwa kiswahili chake. Takwimu ni profession
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…