Entrepreneur Solution in android

Entrepreneur Solution in android

luckyman

Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
28
Reaction score
5
kwa wale wote wafanya biashara wadogo na wakubwa. wanafunzi kutoka THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR (SUZA)
wamo katika hatua ya mwisho kutengeneza app ya simu za android kuwarahishia wafanya biashara wote wadogo na wakubwa kuzimanage biashara zao na kujua yafuatayo

1. kujua NET PROFIT
2. kurikodi gharama zote (Expenses)
3. kujua mtaji uliobakia kwenye biashara
4. inakuwezesha kujua bidhaa zako zote unazouza
5. kujua bidhaa gani imeisha na bidhaa gani ipo
6. automatic inasave date, month and year of any transaction yako
7. vile vile inakuwezesha kujua wale wote unaowadai
8. na pia wale wote wanaokudai pia unawajua kwa urahisi pamoja na idadi ya fedha
9. vile vile kuna button ukibonyesha kwa wale wote unaowadai automatic inajipeleka reminder sms ya fedha wanazodaiwa

program hii ya android itaweza kutumika na mtu yoyote
haihitaji kusomea

kwa yoyote ambae anaihitaji hii software naomba uasiliane nasi kupitia email yetu
Lukman.bachu@gmail.com

au kwa wale ambao wanataka kuinunua kwa ajili ya kufanyia biashara. tutawapa full right ya umiliki wasiliana nasi kwa simu nambari
+255 772 656 500
Zanzibar
 
nikisikia hivi naona raha sana.. tafuteni hzo copyright na muiuze google play store, ni rahic kuimarket huko.

ila hongereni sana, u make us proud.
 
luckyman hii njia unayotumia wewe wanatumia watu waliokopi kopi sio waliotengeneza wenywe. Kama mmegundua kila kitu basi ni vyema kuiweka kwenye Play Store kama alivyoshauri MAKANJAMNA kwa vile soko ni kubwa mno. Ingawa ukweli unabaki kuwa ushindani ni mkubwa mno na app kama hiyo mliotengeneza nyinyi haivutii wengi, ukiangalia watu wanataka games, health and fitness (ambayo ni trend ya sasa hivi) na utilities

Hongera sana kwa kujaribu, na nakutakieni mafanikio katika mradi wenu. Mimi ningependa kuiona app yenu kabla ya kufikiria kuinunua, angalau nione interface na nipate maelezo inavyofanya kazi.
 
Last edited by a moderator:
wengi wanajaribu kufanya biashara but hawafanikiwi na main target ya hii application ni kwa wafanya biashara only.
mostly about 70% in tanzania wafanyabiashara wengi wanatumia android smartphone
and am sure this application will be great
its my plan to put in play store but until we finish it
na kiukweli we did not copy any where. Kila kitu tumefanya wenyew na ondosha shaka juu ya hilo kwani now
wnafunzi wa suza tuko juu
kwa tanzania chuo cha mwanzo kusomesha android development ni SUZA
n am sure this will help for 99.9% kwa wafanyabiashara wote
niko katika 75% kuikamilisha dan ntaweka demo here ili nipate comment zenu
thanks kwa ushaur wako Milah
 
Hello
Good newz
Entrepreneur solution apps for android is now ready
I want to record it n put to the youtube to see how it works
Thanks
 
hello world
now kindly download attachement that contain full of demostration on how my apps will work
enjoy and i am waiting to hear from you soon
0772656500
thanks
 

Attachments

Back
Top Bottom