"Enter key" ya laptop aina ya toshiba inanizingua, plz ushauri wako!

TheDealer

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
2,424
1,129
Jamii ya wanatech salaam! kama heading inavyojieleza hapo juu ni kuwa pindi nikipost uzi ama ku-comment uzi hapa jf enter key ya laptop yangu aina ya Toshiba inakataa kufanya kazi. Kwa kukataa kufanya kazi nashindwa kuweka paragraph kwenye uzi ama comment yangu. Plz wataalam naomba ushauri wenu. Laptop ni mpya ina kama wiki tangu nimetungua kwa mhindi maisha computers pale posta, dsm! Specifications: TOSHIBA PORTEGE R930-C085 (3210M) WITH WINDOWS 8. INTEL CORE i5, 4GB, 500GB, camera, bluetooth, wifi, DVD Writer, screen 13.3''. Ahsanteni sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom