Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 259
ENRIQUE IGLESIAS VS ED SHEERAN.
Hero vs Perfect.
.
Your my number one vs Thinking out loud.
.
Bailando vs Shape of you.
.
Takin back my love vs Heartbeat.
.
Why not me vs photograph.
.
Some body me vs How do you feel.
.
Heart Attack vs Divide +
.
Subeme la radio vs Beutifully people.
Na nyingine kibao.
Ed Sheeran huyu Mwingereza ni hatari anaimba sana na ni mwandishi mzuri ngoma zake na Album zake huwa zinafanya vizuri sana.
Huyu Mspanish sina haja ya kumuelezea anaimba kwenye viwango vya juu vya sauti japo yeye ni wa muda kidogo, Ngoma zake pia huko Youtube zimefanya vyema sana.
Kwenye kizazi cha leo sijaona mwana muziki wa kumfananisha na Enrique Iglesias nimeona labda Ed Sheeran(kwa mtazamo wangu mimi) Fans wa Bruno Mars,The Weeknd,Justin Biber. samahani
Swali?
Wakiwa kwenye vilele vya ubora wao nani hatari zaidi? Ungemkubari nani kati ya Enrique Iglesias na Ed Sheeran.
#forgive me.