Enough is Enough

Mmh huyo alikua anatafuta tu sababu,wanawake kuna muda tunapenda mteremko sasa mambo ya kugawana vitu ya nini!! Jitahidi tu umpe kiasi cha fedha anazotaka kuepusha ugomvi
okay, nalifanyia kazi hilo
 
Kungekua na ndoa si ndo balaa lingekua zaidi sasa, kama hivi tuu anataka mgao je ingekuepo hyo ulioitaja sijui angehitaji nini
 
kungekua na ndoa nahisi balaa lingekua mara dufu
 
Mkuu danganya toto hyo
 
Hashindwi kumfanya akaongea si mtu wake? ambembeleze ataongea jamani mwanamke ni mtu wa kudekezwa pole pole atasema lakini ukimfanya kama unaongea na mwanamme mwenzio atasemajeee?
mnapenda kudekezwa kweli......na wakuwadekeza ndo wanaendelea kuisha hivyoooo.... aende tu kwao.
 
Kungekua na ndoa si ndo balaa lingekua zaidi sasa, kama hivi tuu anataka mgao je ingekuepo hyo ulioitaja sijui angehitaji nini
Kwa ustaarabu tu, mpe sehemu ya jasho lake mwenzio,si vyema kumuacha hivi hivi
 
Yani mkuu unakaa ndani na mwanamke miaka miwili bila hata kumjaza ka mimba? Nina wasi wasi na uanamme wako...
 
Yani mkuu unakaa ndani na mwanamke miaka miwili bila hata kumjaza ka mimba? Nina wasi wasi na uanamme wako...
Kuzaa mipango mkuu huwezi leta tuu mtoto hujui maisha yake yatakuwa vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…